ITV, EATV Mnasubiri Nini??

ITV, EATV Mnasubiri Nini??

Mishahara ya wafanyakazi wa Makampuni IPP inavunja sana moyo. Wafanya kazi hawafanyi kazi kwa kujituma.
 
Mchaga yule ubahili na roho mbaya inamsumbua yote hii ni kukipa promo kin'gamuzi chake cha Digitek kiuzike hata Fstv hataki kwenda

Mwanamke hutakiwi kuwa na mdomo unaotoa harufu mbaya kama wako
Haipendezi hata kidogo
Ubaili gani alionao mzee mengi?
Utamfananisha na Resa?
Uchaga umetoka wapi kwenye uzi huu?
Kwani kutangaza king'amuzi chake ni dhambi?
Jitambue mtoto wa kike upate kuolewa!
 
Mnaongoza kuwanywesha pombe walemavu halafu mnaenda kuomba msaada wa kupunhuziwa kodi eti mnasaidia sana jamii ya walemavu. Kweli hamkurupuki!

Ndio zeke hizi mzee Mengi! Biashara ya ushindani haiwezi kabisaaa.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
ITV wanatia aibu kwa kweli. Hata online hawapatikani! Wamebaki kutuwekea video clip moja au mbili za habari kwa Siku au Siku nyingine wasiweke. Waige mfano wa TV za Kenya mf KTN. Sisi tunaoishi huku ng'ambo tunakosa habari za ITV na Radio one.
 
habari za Wema na Diamond. Pia Mbwiga wa mbwiguke atakuwa anachombeza

Makhtoon family wasikilize ujinga wa sijui power breakfast? Na yule mzee wa michepuko sio deal?
 
Back
Top Bottom