safi sana, inapaswa kuwa hivyo. Maana walimu wanajifanya wajuaji sana na wenye hekima sana..!
Ukimwambia mwalimu achana na ccm, hataki
ukimwabia ccm haina hela kwa walimu, hataki.
Ukimwambia ccm haina maisha bora kwako, hataki.
Ukimwambia usikope maana mshahara haupo kabisa, hataki.
Ukimwambia fanya mgomo kudai haki yako anagoma kidogo, anaachia.....!
Ukimwambia acha kusimamia uchaguzi ili upate haki yako kwanza, hataki.
Ukimwambia usuruhusu shule yako kuwa kituo cha ccm, hataki
sasa mwalimu kula ulichopanda na vuna unacholima kila mwaka wa uchaguzi-tanzania