Recent content by Mchoropa

  1. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Pintech fridge inauzwa

    Upo wapi? nicheki 0655206989 tuzungumze
  2. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Simba wako kwenye mavuno

    Ha ha ha ha hatari sana
  3. Mchoropa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mkaka mdogo ananipenda mpaka familia yake wanajua nifanyeje kuepuka usumbufu?

    Umri ni namba tu wala hautatizi mahusiano, changamoto ni kwa kuwa tayari wewe una mpenzi mwingine, vinginevyo ningekushauri UMPWELEPWETE huyo dogo@
  4. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Je nani kuondoka na tuzo hii?

    Lukaku
  5. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Wanasoka mahiri kutoka mkoa wa Morogoro

    Ally Shomari, Ismail Mhesa, Juma Abdul, Shiza Kichuya, Mo Ibrahimu, Hassan Kessy, Mzamiru Yasin, Jonas Mkude, Shomari Kapombe, Aishi Manula n.k
  6. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Kagame cup mshindi wa 3: Yanga waingia mitini

    Hili kaburi mlilofukua linaweza kufukiwa na watu wengine mwaka huu, ngoja tusubiri hiyo tar 05/07/2018
  7. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mazishi ya Mapacha Consolata na Maria huko Tosamaganga-Iringa leo tarehe 06/06/2018

    Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi@
  8. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Wasukuma waliowahi kucheza soka

    Mrisho Ngassa
  9. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

    Bado unajiona uko sawa? unawezaje kuhudumia mbwa gharama ya mil 4 ilihali wapo binadamu wenzako hawana uhakika hata wa mlo mmoja kwa siku? Jitathmini, njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba mno@
  10. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Wajuzi: Nauli Ya Kwenda Brazil

    Nadhani kusudio lako ni kutuonyesha unajua "kubold" maandishi@ Rangi zinaumiza macho#
  11. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Nimeketi kusubiri wajuzi waje
  12. Mchoropa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe amemteua Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha Michezo Malya

    Wanahitimu ktk chuo hiki wanatumiwaje (Ajira)?
Back
Top Bottom