Recent content by Mchokozi

  1. M

    Fastjet na Kampuni ya kufunga vifurushi hawalipi Kodi Mwanza Airport

    Naomba kuwafahamisha TRA na wadau kuhusu wizi unaofanywa na Fastjet pamoja na Kampuni ya kufunga mizigo (wrapping services) kuwa Kampuni hizi kwa ujumla zinaibia serikali mapato yanayotokana na kipato kinacholipwa na wasafiri. Mimi nilisafiri na ndege ya fastjet nikiwa na ndoo ya Sato nilipofika...
  2. M

    TBC yarudi kwenye udhaifu wa TVT

    TIDO Mhando amewaachia lana kwani Mshana hana uwezo wa kuendesha taasisi kubwa kama TBC
  3. M

    CCM na CHADEMA Dar wamgeuzia kibao JK

    Siasa sitaki nitasoma mkibadilisha post
  4. M

    TBC mko juu!

    Mimi napita tu hapa siasa si mdau!!!!!!!!!!
  5. M

    Maskini Tanzania wanyama zaidi 140 wameenda bure Qatar

    Huu ni ukosefu wa nidhamu toka lini ukahoji Baba yako anavyotumia mali yake?
  6. M

    Breaking news! TCU yavamiwa na wezi!

    Mshahara wa walinzi wetu haufanani na mali wanazolinda
  7. M

    Pinda atekeleza maagizo ya Lowassa, aunda tume kuchunguza sababu ya kidato cha nne kufeli

    Leo serikali kupitia waziri mkuu aka mtoto wa mkulima imetangaza kuunda tume kwaajili ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne 2012, je tutegemee nini kwa sisi watoto wetu walipata daraja la nne na Sifuri?
  8. M

    Kurudia mtihani wa kidato cha Nne kwa udhamini wa serikali je ni suluhisho la kufeli ?

    Wana JF, nimesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari na magazeti kuwa serikali inaangalia uwezekano wa wanafunzi 60% waliofeli warudie mtihani na hata ikiwezekana walipiwe gharama za kurudia, je hii itakuwa ndiyo Muarobaini wa kufeli?
  9. M

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    RIP F. Mushi, Dr Shein rais wetu unakazi kubwa ya kufanya kumbuka kikulacho kinguoni mwako, usiwachekee tena hao wauwaji ama sivyo uvumilivu ukiisha kwa Wakristu patachimbika
  10. M

    Mwananchi wamepoteza umakini

    Nevil Meena naye ni nini?
  11. M

    Tanzia: Nimepatwa na msiba wapendwa

    Pole sana mkongwe wa JF
  12. M

    Kero Kero Kero Tanesco Ilala Umeme kukatika Ovyo Ovyo.

    Hahaaaa pole sana sisi maeneo ya Mabibo mpaka jamaa zetu Kigogo tumeshazoea kwa sasa kwani kila siku kaunzia saa 12 Jioni mpaka saa 4 usiku umeme lazima ukatwe, huu ni Mgao wa kisiri siri na ninasikia kuwa walishapigwa maarufuku kutangaza badala yake wanatakiwa kusingizia uchakavu wa miundo mbinu.
  13. M

    Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    Wana JF, Mwenye taarifa sahihi naomba anifahamishe lini matokeo ya kidato cha nne (IV) yatatolewa? ili niweze kuondokana na shinikizo la kuwaza pasipokujua siku wala saa. Wasalaam Mdau
Back
Top Bottom