TBC yarudi kwenye udhaifu wa TVT

TBC yarudi kwenye udhaifu wa TVT

duocore

Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
55
Reaction score
5
TBC ilipopewa jina hili iliboreshwa sana, lakini leo imerudi kule enzi za TVT. When will we wake up? Kwenye dhifa za kitaifa maonesho ya moja kwa moja mara giza na kwamba "battery low"...anyway. Bado siye wachanga na kwamba hatuwezi kujifujinza kwa wengine...basi ni vilema.
 
Rais msaniii wafanyakazi wake manguli wa sanaa unategemea nini
 
Siku zote mikamera yenu ya live shooting mnakuwa hamjatulia mnakimbiza camera kama mpo training.
Watangazaji nendeni na wakati..jambo ambalo lipo live mlielezee mpaka mmalize siyo mnachomeka sauti ambazo haziendani na picha iliyo live.
Nimewaona kwenye sherehe za Muungano mpaka nakereka maana mngekuwa wafanyakazi wa CNN au BBC labda mngeishia kushika nyaya zisijizonge na watu miiguni...
Battery Low camera tinaona na sisi...hamna direct connection kuepukana na betry kuisha charge?
Badilikeni japo mlipotoka ni mbali na hapa mlipo ila mambo mengine hayataki ushahidi au chuo.
Ni watu kama mimi kueleza mkacopy na ku paste...
Nimekereka maana duniani mnaonekkana kwa jinsi mnavyotekeleza kazi zenu kwa kiwango kidogo.
 
NI kweli bwana, hata mimi nimeshangaa naambiwa battery power low, please change the battery, NIkashtuka hivi TV yangu inatumia battery? NIkagundua kumbe ni kamera za hawa majamaa
 
Kwa sasa TBC inapoteza mvuto kwa watazamaji wa Tanzania kwa sabau y kukosa umakini katika utendaji wa kazi zao, na pia upendeleo wa kisiasa katika mambo yao.
Nafkiri kuondoka Kwa Tido ni pigo ambalo serikali imeshindwa kulizuia.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Imenikumbusha ya CD/DVD yenye wimbo wa taifa kugoma siku ya fainali iliyohudhuriwa pia na mkuu wa kaya! Hii ndio TZ zaidi ya uijuavyo!
 
Aisee vitu vingine twaishia kucheka tu!! Yaani kama hawajua dhifa ya leo! Nnya zao
 
Aisee vitu vingine twaishia kucheka tu!! Yaani kama hawajua dhifa ya leo! Nnya zao
 
Kiukweli mimi sina imani na tbc japo serikali inawapa ruzuku lakini bado.hizi hasara za kuwatoa kina tido mhando na kuwaweka wanaowataka
 
Siku zote mikamera yenu ya live shooting mnakuwa hamjatulia mnakimbiza camera kama mpo training.
Watangazaji nendeni na wakati..jambo ambalo lipo live mlielezee mpaka mmalize siyo mnachomeka sauti ambazo haziendani na picha iliyo live.
Nimewaona kwenye sherehe za Muungano mpaka nakereka maana mngekuwa wafanyakazi wa CNN au BBC labda mngeishia kushika nyaya zisijizonge na watu miiguni...
Battery Low camera tinaona na sisi...hamna direct connection kuepukana na betry kuisha charge?
Badilikeni japo mlipotoka ni mbali na hapa mlipo ila mambo mengine hayataki ushahidi au chuo.
Ni watu kama mimi kueleza mkacopy na ku paste...
Nimekereka maana duniani mnaonekkana kwa jinsi mnavyotekeleza kazi zenu kwa kiwango kidogo.

Kwa nini nawe hukuangalia ITV?nao walikuwa hewani mkuu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Picha nayo ilikuwa mbaaya halafu ch ten na startv nao wakajiunga sikutegemea, KIBOKO YAO ITV clear picture hadi unainjoy
 
Kwa sasa TBC inapoteza mvuto kwa watazamaji wa Tanzania kwa sabau y kukosa umakini katika utendaji wa kazi zao, na pia upendeleo wa kisiasa katika mambo yao.
Nafkiri kuondoka Kwa Tido ni pigo ambalo serikali imeshindwa kulizuia.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kaka sio kuondoka kwa Tido ni wenyewe ndio wamemuondoa kwa sababu alikuwa anapiga Pasu kwa pasu kati ya Ccm na wapinzani uchaguzi wa 2010 ndio maana wakamtoa soon baada ya uchaguzi ili waweke mtu ambaye wakimwambia usionyeshe bunge live anasema ndio mzee? Sasa inalicost Taifa
 
Back
Top Bottom