Ulishawahi kujiuliza aliye nyuma ya GSM au mnavyomwita Gharib Said? Tanzania ni nchi ambayo ina raia waoga sana na wata waandishi wa habari za kiuchunguzi wengi waoga sana hawasemi ukweli. Nchi inatafunwa sana kwa walio wengi kujificha kwenye vichaka vya wafanyabiashara. Kariakoo hivi sasa...
Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
Shida ya huyu mama anashauriwa na mtu ambaye kwenye yake ya uongozi alifeli sana katika mambo mengi na nchi ilitaka kumshinda. Mtu huyo kakumbatiwa na mama. Hovyo kabisa
Umetumwa wewe. Huyu mama ukitaka kujua hapendwi na watanzania wengi angalia hotuba na ziara zake wanaofuatilia hakuna. Tofauti na mtangulizi wake. Kiuhalisia anaonekana ababwabwaja tu
Huyu mama anapenda sana sifa, angalia mabango kuanzia Airport mpaka Posta mjini ni mabango yake. Yabatusaidia nini? Kwanza binafsi nikiona picha yake tu nahisi kutapika. Hapendeki anapendwa na wezi wake na matajiri wanaokwapua mali
Katika kuendesha shule au kuandaa mitahani ama fomu mbalimbali karatasi ni nyenzo muhimu sana.
Sasa zinavyopanda kwa kasi hii kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine tutafika kweli. Katoni ya Ream ya karatasi yenye pc 5, ilikuwa inauzwa 40 000/=
Kwa sasa ni Tsh 100,000/=.
Mimi bado...
Kabisa mimi mwanaccm tena nina kadi ya uanachama ila nchi inatafunwa na wanaccm. Fikiria mradi wa viwanja elfu 20 vilivyopimwa Dar es Salaam. Eneo la Mwanagati limekuwa mateso kwa wananchi wa Mwanagati hasa usafiri. Viongozi wa mitaa wakishirikiana na diwani wamebuni vimiradi vya ulinzi...
Kwakweli hawa jamaa ni matapeli sana hasa wa kutokea Arusha na Moshi walishaniuzia nenga akabidi niwapange wanajeshi wawili na wao wakajifanya wanataka simu. Uliza muuza simu kilichomtokea alilia kama mtoto
Ndugu zangu watu wa Stationery hali yao ni mbaya sana. Kwani bidhaa muhimu katika Stationery hasa karatasi nyeupe zimepanda sana na haijawahi kutokea.
Kabla ya kauli ya Rais kuwa bidhaa nyingi zitazidi kupanda bei ya Katoni ilikuwa inauzwa Tsh 43000 ghafla baada ya ile kauli kutoka katoni ya...
Nilishawahi kusema humu. Hata kukatikakatika umeme ni janjajanja ya Makamba na familia ya mzee wa Msoga ili wauze mafuta. Baada ya maneno umeme ulitulia angalau maumivu yamepungua. Makamba ana unafiki sana ndani yake ni mtu mwenye hila ndani yake. Hana uzalendo kwa nchi yake anajiangalia yeye tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.