Recent content by mchogora

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa yamvuruga Zitto ACT-Tanzania

    mbona nyepesi yuko kimya,kama ni mwanachama?
  2. M

    JamiiForums Tanzania TUJADILI:Mbunge anastahili posho kwa ajlli ya mafuta,dereva,mwanasheria na msaidizi wake?

    Waligoma walimu wakitaka nyongeza ya mshahara na kima cha chini cha 350,000 kwa mwezi, jk akasema serikali haina hela hiyo hata wagome mwaka mzima leo wengine lak 3 kwa siku ndani ya nchi moja kweli?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya katiba na bunge maalum la katiba

    Wanajamvi nawasalimu,hivi kama wajumbe wa bunge maalumu la katiba wanamamlaka ya kubadili hata rasimu yote na kuandika wanachoona wao kinafaa tafsiri yake ni kwamba tume ya jaji warioba haikuwa na umuhimu na hata haikustahili kuwepo kabisa na wajumbe wa bunge la katiba ndo hao tangu wameanza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya katiba na bunge maalum la katiba

    Wanajamvi nawasalimu,hivi kama wajumbe wa bunge maalumu la katiba wanamamlaka ya kubali hata rasimu yote na kuandika wanachoona wao kinafaa tafsiri yake ni kwamba tume ya jaji warioba haikuwa na umuhimu na hata haikustahili kuwepo kabisa na wajumbe wa bunge la katiba ndo hao tangu wameanza kikao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania IGP Ernest Munga

    Ili ulinganishe na utendaje wake?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha mapenzi cha kusisimua

    yaani ni stori nzuri sana,watu wengine wanaendekeza michepuko tu hawajali wake zao
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa Kwanza Mwenye Power ya kweli katika Historia ya Tanzania - William Malecela

    Duu alitisha sana jamaaa,cheki shule za kata zilijengwa hadi usiku.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupi mwenye nafasi kubwa ya kuwajali wazazi kati ya mtoto wa kiume na mtoto wa kike

    Kwanza kabisa mi niseme mtoto kumjali mzazi/wazazi ni malezi na akili ya mtoto mwenyewe,maana kama mtoto kwenda shule tu alilazimisha tu na uwezo wa kwenda shule ulikuwepo ila baba kwa sababu zake mwenyewe hajamlea vizuri unategemea akujali,lakn tusipe baya kwa baya.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wafanyabiashara Watoa Ushuhuda kuwa Mwigulu Ndiye Rais Ajaye, Kiongozi Genius

    Umeona ee yaani tanzania uraisi ni shamba la bibi, kila mjukuu anahaki ya kuvuna jamaniiii!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu aina ya iphone au galaxy kuanzia tsh 100,000/= tu

    Weka picha ya iphone au galaxy original ya laki mojaaaa!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

    Habari gani wanajamvi?,kuna madhara gani kwa mwanaume kuoga maji ya moto kwa upande wa mfumo mzima wa uzazi? kwani inasemekana eti corodani hazitaki joto ndo maana ni organ iliyoko nje. naomba kuwasilisha.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Wasanii kama jacob steven almaarufu jb,akiwangoza wengine leo wameamua kujiunga na ccm,je ni kweli wanamapenzi kwa chama au njaa? kazi yao haiwalipi?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kumnyang'anya vitu nilivyo mpa

    Alikuwa snajipendekeza kwa bidada,cha msingi hapo aachane naye kwani huwezi lazimisha kupendwa,ila si kuna rafiki zake bidada yupo ambaye alikuwa anatamani uhusiano wao ili aumie.Bora kupendwa kuliko kupenda!!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Meya Bukoba wachukua sura mpya

    Anajiita mtoto wa mkulima,kumbe mwenzetu anajichote tu!!!!!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Paul makonda na kipindi cha uzalendo itv

    huyu jamaa anapropaganda,yeye ni katibu wa itikadi na uenezi wa uv-ccm sasa baada aeneze ya kueneza badala yake anasema chadema ni chama cha matukio na yakiisha na chama hakipo tena,anasema ziara walioanzisha watazungumzia op tokomeza,sasa kazi ya chama kinachokuwa upande wa upinzani nini...
Back
Top Bottom