Natafuta simu aina ya iphone au galaxy kuanzia tsh 100,000/= tu

Natafuta simu aina ya iphone au galaxy kuanzia tsh 100,000/= tu

medyzo

Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
86
Reaction score
9
Kwa yeyote yule Ambaye Anauza Simu hizo Tajwa hapo juu Anicheki kupitia 0757645436 kwa text Au WhatsApp . Tuongee Biashara
#KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM
 
kama kuanzia sh.100,000/- kwenda juu mimi ninayo ya sh. 550,000/-
sema!
 
Kwa yeyote yule Ambaye Anauza Simu hizo Tajwa hapo juu Anicheki kupitia 0757645436 kwa text Au WhatsApp . Tuongee Biashara
#KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM

Muongee biashara au akuuzie manake bei ushajipangia kuonyesha dhahiri kwamba uko tayari kupokea mchina.Tangu lini Android zikauzwa laki moja
 
Plz jaman mi ctaki Michina cjazoea michina mim kwa ambaye anayo anichek WhatsApp bas
 
Elewa kiswahil mkuu,ushaambiwa kwa laki yako moja uwez kupata android yoyote labda feki one from china
 
Unataka kitu kizuri kwa bei ndogo »»»»»»»»® huwwzi pata
 
ipo htc desire a8181 kwa 230...ukitaka ni pm tuongee.
 
Hawa ndo wale wa kuja wanashikishwa iphone four mchina haina hata camera
 
Back
Top Bottom