Fresh Jumbe aliona mbali
Penzi ni kikohozi kulificha huliwezi
Penzi ni kikohozi kulificha huliwezi
Penzi ni kikohozi kulificha huliwezi
Penzi ni kikohozi kulificha huliwezi
Halafu mamlaka za usafiri wa anga walishawapa kanuni mashirika ya ndege kwamba muda wote wa safari kwenye Cockpit kuwe na marubani watatu, mmoja akitoka wabaki wawili ,isitokee akabaki Rubani mmoja kwenye Cockpit kutokana na mikasa ya Ethiopian Airline na GermanWings. Nadhani gharama za...
Kwanza ingekuwa mtoto wa jicho hata wewe ungeiona maana siyo kitu cha kujificha na ndio inahitaji surgery. Kutokuona mbali tiba ni miwani tu . Aende apime macho ,lens anachagua mwenyewe inayomfanya aone comfortable .Atajaribu lens tofauti tofauti hadi ile itayomfaa . CCBRT kupima pamoja na...
Rasta kiasili ni chafu tu, nywele zinavyozidi kurefuka zinakufa. Achana na hile wanazosuka mabisho kwenye saluni kama alizokuwa nazo master J za kufunga na kufungua
Tatizo mtu ukiwa kapuku unadhani wote ni mqkapuku. Hizo Gym unlipa si bure tena nyingi ni malaki kwa mwezi .Hivyo hakuna anayekwenda kulipa hizo gharama bila kuwa na source ya Income , labda kama umewakut uchochoroni wakinyanyua vyuma vya zege
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.