Recent content by Mchiwa Ng'ambaku

  1. Mchiwa Ng'ambaku

    Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Halafu kwa nini wasingechukua kisu wakachana huo mfuko au yasingemwagika?
  2. Mchiwa Ng'ambaku

    Rais Magufuli piga marufuku Dodoma kurudia majina ya Dar

    Dodoma hakuna mtaa unaitwa manzese acha kutudanganya. Hiyo kariakoo ya Dodoma unayosemea sio mtaa ni sehemu ya biashara ya mtu binafsi ambapo kuna maduka mengi ndo akapaita kariakoo kwa sababu zake binafsi za kibiashara. Halafu kama ulikua hujui Chang'ombe ya Dodoma ndo ilianza ndo ikaja ya Dar
  3. Mchiwa Ng'ambaku

    Viongozi wa kiislamu wameelewa elimu ya Subra...

    Acheni kukashfiana dini hizi dini mmeletewa tu na wageni, hizi dini zinazofanya mtoleane maneno makali ni vitu vya kufikirika tu hakuna uhalisia wowote. Kila mtu abaki na imani yake hata kama anaabudu kiatu, ndivyo imani yake inavyomtuma Na mmoja akitoa tamko sio lazima na mwingine atoe, sio...
  4. Mchiwa Ng'ambaku

    Kwa wale waliopo serious kusaka maisha. Hii ni fursa, msaka maisha kamwe hachagui kazi.

    Kwa Dodoma hivyo vifurushi vinapatikana wapi? Bei ya jumla ni shs ngapi kwa kifurushi?
  5. Mchiwa Ng'ambaku

    Ukitaka mwanao awe na akili, mruhusu afanye hivi

    Sema atakua mjanjamjanja
  6. Mchiwa Ng'ambaku

    Itungwe Sheria kali kudhibiti wanasiasa wanaojificha kwenye mwamvuli wa taasisi za dini na kijamii!

    Uchungaji wa Msigwa ni cheo tu ambapo hata ukiacha kazi ya kuhudumia kanisa bado utaitwa mchungaji, mfano Mwl Nyerere mpaka anakua raisi bado anaitwa Mwalimu wakati kazi ya ualimu alishaiacha
  7. Mchiwa Ng'ambaku

    Gazeti hili hawana habari nyingine zaidi ya hii siku mbili mfululizo?

    Pole sana mtoa mada [emoji23][emoji23][emoji23] nahisi haya majadiliano yangekua yanafanyika ana kwa ana ungekua ushakula makofi
  8. Mchiwa Ng'ambaku

    Tatizo lolote la PC/device

    PC yangu niliiangusha sasa hivi nikiiwasha inastart wakati inaload ili iwake kabisa inastuck haindelei ili iwake kabisa inabaki na black screen lakini nikiizima halafu niiwashe tena ndo inakubali kuwaka vizuri, sasa tatizo inaweza ikawa nini na solution yake ni nini?
  9. Mchiwa Ng'ambaku

    Kwanini watu wenye mtindio wa ubongo huwa wanafanana kwa kiasi kikubwa?

    Dah hichi kitu hata mimi nimekua nikitamani kukijua
  10. Mchiwa Ng'ambaku

    Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Sawa babu sijabisha [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Mchiwa Ng'ambaku

    Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Kweli nimeamini lemutuz ni babu maana Ronald Reagan alitawala marekani Kati ya mwaka 1981 to 1989 zaidi ya miaka 30 iliyopita ingawa amejaribu kuficha miaka kwenye story yake ila tumejua
  12. Mchiwa Ng'ambaku

    Mwenye Banshee Seasons zote anisaidie nazihitaji

    Mimi ninayo ungekua dom ningekupatia mkuu
  13. Mchiwa Ng'ambaku

    Natafuta kazi ya ualimu

    Sawa mkuu ntakucheki
  14. Mchiwa Ng'ambaku

    Natafuta kazi ya ualimu

    Ok kaka nimeshakucheki
Back
Top Bottom