Kuwalinganisha wahuni Taliban wanaopigana kwa kuvizia na US ARMY ni udhaifu wa mfumo wa kufikiri!
Marekani ni next level! Taleban hawezi kuwa contest hata Pakistani.
Ukiona hivyo wanaotarajiwa kuwasaka wauaji ndiyo wahusika wenyewe!
Watajipelelezaje?
Katika shambulizi lile Serikali ndiyo Mtuhumiwa Mkuu. Ndiyo maana ilikataa kuunda Tume Huru au kuitwa Wachunguzi wa Kimataifa. Haitachukua wiki moja kukamilisha uchunguzi endapo Polisi ya Kimataifa au Tume Huru...
Ndoto za mchana baada ya kuvimbiwa Dona la Mama Lishe! Subirini muda wenu ufike mbwa nyie. Tutawakusanya na kuwawajibisha bila kupepesa macho. Mmehangaika na Mbowe mwaka mzima mmeshindwa. Hamna ushahidi hata wa kuokoteza mmeshindwa.
Mimi si CCM kuna mambo ya Rais Samia nimeyapenda lakini si hili la sifa za kihunihuni! Nilikuwa namshangaa Rais kutozishtukia hekaheka za machawa wakimwagia sifa hata pasipostahili. Sifa za bandia za kusaka teuzi mbalimbali.
Sifa za namna ile ni za kumdhalilisha mhusika, kumfanya mjinga!
Bilioni 7 zingeweza kujenga daraja la zege, la kudumu na chenchi kubaki kwa maendeleo mengine! Hilo ni daraja la muda ambalo life span yake haitazidi miaka 25 kabla kudai matengenezo!
Ni ubakaji tu hata kama kivulana kilikuwa kikisimamisha! Hata umri wa miaka 12 unatosha kuelewa ulikuwa ubakaji. Umezungumzia tendo la makubaliano. Ni Makubaliano yepi yatakuwa halali kati ya kivulana cha miaka 12 na mtu mzima!
Tuondolee upumbavu wako wa kuambukizwa. Kawadanganye wapumbavu wenzio wa CCM. Mbowe angefanya hivyo CCM kupitia Mahakama zenu za makada wenu za "maelekezo toka juu" angeshahukumiwa kunyongwa!
CCM ni wazito sana kujifunza. Kumkamata, kumdhalilisha, kumtesa na kumfunga kiholela Mbowe ni moja ya makosa yatakayoigharimu CCM kwa miango kadhaa!
CCM na serikali yao wamempa Mbowe umaarufu usiotarajiwa. Ujinga wa watu wachache ndani ya CCM umeigawa CCM, Umeligawa Taifa na kumjengea tashwira...
Kesi ya kubumba ya Mbowe inaivua nguo serikali na kwa kweli ni hujuma dhidi ya utawala wake. Kesi hii imewaudhi mno na inawakera watanzania wote, wapinzani na wana CCM na inamweka Rais Samia katika mizani sawa na Fashisti Magufuli. Ni kesi inayoharibu tashwira ya Mahakama, Polisi na Majaji. Hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.