Recent content by Mcheza Viduku

  1. Mcheza Viduku

    Usajili wa Onana kwenye timu yetu, ndo anguko letu

    Si umesema yule kapteni wetu pendwa walim-delete, kama vipi na sisi tutafute wachezaji mamluki waje wamvunje
  2. Mcheza Viduku

    Usajili wa Onana kwenye timu yetu, ndo anguko letu

    Tuliosoma Cuba na kufanya field Israel tumeshakuelewa, mi naona kama vipi nae auliwe tu
  3. Mcheza Viduku

    Hivi inawezekani crane kujibeba juu?

    Haya maswali ndio yanayosababisha wavuta bange waonekane hawana maana
  4. Mcheza Viduku

    Mnapohangaika kutafuta Wajumbe Mitaani huku mkijua kwamba Uchaguzi hautakuwepo mnamaanisha nini?

    Nawahakikishia kuwa uchaguzi uko palepale na hakuna mwanamke yoyote wa kuweza kuzuia haki ya Watanzania kupiga kura
  5. Mcheza Viduku

    Aziz ki pole sana

    Ni ubashiri tu mkuu
  6. Mcheza Viduku

    Aziz ki pole sana

    Mimi sio mtabiri ila naona huko mbele kuna mtu atakuja kukomenti NOO RIFOMU NOO ELEKSHENI
  7. Mcheza Viduku

    Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

    Hivi na nyie ni watani zetu au ni watani wa Wachaga tu
  8. Mcheza Viduku

    Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

    WASUKUMA ni kabila kubwa sana na limezungukwa na makabila mengi ambayo ni watani zetu wa jadi japo vijana wengi wa siku hizi hawajui hayo mambo ya utani wa jadi wao wanatembea na upepo unakovumia tu.
  9. Mcheza Viduku

    Utajiri wa Ndagu/Majini

    Swali lako kama lina ka mantiki flani hivi
  10. Mcheza Viduku

    Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

    Mleta mada hebu acha uongo bana, hakuna aliyejenga pale vyote unavyoviona ni vya kuleta jumamosi na kuondoa usiku, kesho ukienda unapakuta ni peupe
  11. Mcheza Viduku

    Kwamba kama Baba angemuoa Mama mwingine nisingezaliwa mimi?

    Huo ni mpango wa uwepo wako na uliokuwapo kabla ya kutungwa hata mimba yako, mada iishie hapo tuongelee mechi ya Simba sasa au kama sio mwanamichezo njoo tuzungumzie siasa na wanasiasa, kama na uko haupo basi tuongelee hata muziki, nikisema muziki namaanisha muziki na sio huu uhuni wenu wa siku hizi
  12. Mcheza Viduku

    Bisho Ntongo namuona kwenye kona, inasikitisha sana, wametoboa mtumbwi sasa

    Na ukilaza wangu huu ila hii nimeielewa 🤣🤣
Back
Top Bottom