Recent content by Mcheza kamari

  1. Mcheza kamari

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Polepole, Chadema kesho CCM wanaanza kampeni rasmi

    Kipindi ana bifu na makonda.Alisema Makonda anahisi gwajiboy anataka agombee ubunge koromije,ambako ilisemekana Makonda alikua na mpango huo pia.Gwaji akasema yeye hawezi kuwa mbunge wala rais,yeye ni mtumishi wa Mungu.Kwasababu akifanya hivyo kwake ni "DEMOTION".Zingatia hilo neno DEMOTION...
  2. Mcheza kamari

    JamiiForums Tanzania Jana nimeshinda bila kula, leo sina uhakika naombeni kazi/kibarua nitakufa

    Hiyo nzuri inaitw comeback
  3. Mcheza kamari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Mapenzi yanachanganya sana,kuna kabinti kakali kinoma ka miaka 17-18 hivi.Kalikua na msela wake ndo alikatoa bikra,hawajapishana sana umri.wakati huohuo kakaanzisha mahusiano na mjomba wa age 36,ambaye ni jobless na life la kuungaunga.Mjomba alitongoza kiutani tu akijua hawezi kubaliwa ila ndo...
  4. Mcheza kamari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi Kupendwa Mpaka Ukawa Unahisi Kero?

    Demu anapiga simu usiku saa 8 nimelala analeta mahaba yake,Hizo mambo siwezi
  5. Mcheza kamari

    JamiiForums Tanzania Binti yangu umri wa miaka 5 mbishi hataki kutumwa, kwenda shule asubuhi hataki

    Wakiwa na wenzake wanacheza jaribu kuwaita halafu watume wote wafanye kitu,wenzake/mwenzake akitekeleza mpe zawadi labda biscuits akiwa anaona ila yeye usimpe,kesho atajua kumbe ukitumwa ukikubali ni jambo zuri unapewa zawadi.Kuhusu shule fatilia nini kinamkwaza skuli.Binafsi kuna mtoto wa umri...
  6. Mcheza kamari

    JamiiForums Tanzania Binti yangu umri wa miaka 5 mbishi hataki kutumwa, kwenda shule asubuhi hataki

    Nenda nae taratibu atakua sawa tu,kipigo utamuumiza bure.Kila mtoto anaulewa tofauti.pendelea kutoka nae mahali mnakaa unamnunulia tamtam huku unamuelekeza taratibu kiurafiki.Mpe mifano ya watoto wengine kama wapo au anaowafamu jinsi wanavyopenda shule,wanavyosalimia au wanavyotumwa na...
  7. Mcheza kamari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wadada Wanawapiga vibuti Wanaume wafupi na Wanene, Labda wawe na pesa nyingi sana

    Kuna manzi ilinishobokea kinoma ikanitongoza yenyewe kwa sms.kimo changu ni futi 5.8,wakati huohuo mshikaji wangu ni tall man halafu mbavu yani mzee wa tizi,pia mwana alikua na pay kunizidi.Kwanini demu alinikubali mimi na hakumshobokea mwana mwenye vigezo hivyo.Demu mwenyewe ni knife hatari
  8. Mcheza kamari

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakatoliki, mliwafanyaje wasabato? Malizeni tofauti zenu.

    Sioni sababu ya wasabato kuwaponda wakatoliki ikiwa biblia wanayotumia ilimilikiwa na mapapa wakiroma miaka kibao.Ikumbukwe pia biblia hiyohiyo ipo translated kutoka katika lugha zilizokwisha kufa.
  9. Mcheza kamari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

    Umemaliza
  10. Mcheza kamari

    JamiiForums Tanzania Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

    Yeah kwa makapuku haina uhusiano hiyo
  11. Mcheza kamari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

    Mishangazi ndo Noma sasa wanabeba hotpot hadi mapazia wanayatamani
  12. Mcheza kamari

    JamiiForums Tanzania Je, Mpunga umeibiwa Kimazingara: Ukweli au Tamaa?

    Kwa tuliowahi kuishi pande hizo yote mawili yanawezekana.Kule watu hawalimi bila dawa.Niliwahi kulima karanga eka 2 nikapata debe 5
  13. Mcheza kamari

    JamiiForums Tanzania Wapo Watanzania wapambanaji lakini hawajafanikiwa kwasababu ya kurogwa na ndugu au majirani zao

    Kuna jamaa bush flan aliuziwa ndinga na mzungu rafiki yake.Ila mzungu alikua jiji flani kaskazini huko,ikabidi jamaa atume dereva wa palepale bush akaifate ndinga.Kuna raia wakampigia dereva simu akiwa njiani anarudi kuwa sijui kama hiyo ndinga itafika salama.Kweli ndinga ikapiga chini ikaja...
Back
Top Bottom