Recent content by mchepuko wa mkulu

  1. mchepuko wa mkulu

    JamiiForums Tanzania Usiingie kwenye ndoa au mahusiono na mkombozi wa ukoo

    Acheni ubinafsi
  2. mchepuko wa mkulu

    JamiiForums Tanzania Dar: Aliyedai kuporwa Tsh. Milioni 60 aonesha alipozificha

    Ila nyie watu nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti apigwe risasi ya bega[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. mchepuko wa mkulu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Habari za siku mingi wanaJf ni muda sasa sikuwa naposti wala kukoment ila mara mojamoja nilikuwa napita kama msomaji hii ni kutokana na majukumu. Nilibahatika kupata ajila taasisi moja hivi ila pia ni mjasiriamali ambaye nimewekeza kwenye stationery mbili kubwa tu ila imefika muda napenda...
  4. mchepuko wa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume ambao hawana makalio wanakua na mzigo wa maana?

    Binafsi Siipendagi wenye vitambi
  5. mchepuko wa mkulu

    JamiiForums Tanzania Jamani nampenda sana huyu member, sijui nitampataje

    Jamani...yamekuwa hayo tena.?
  6. mchepuko wa mkulu

    JamiiForums Tanzania Jamani nampenda sana huyu member, sijui nitampataje

    ni muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia comment na post zake huyu member anayejiita Mbwa dume Sio siri nimevutiwa sana natamani kumfahamu kiundani ikiwezekana awe rafiki yangu tu Tumezoea watu wengi humu kudanganya kuhusu kazi zao wengi hujifanya wana elimu sana na wanabiashara za mamilioni...
  7. mchepuko wa mkulu

    JamiiForums Tanzania Nataka nifanye ngono na huyu mmama je mnanishauri vipi?

    Yaani hawa wasukuma dah...!!!!!!!!!!
  8. mchepuko wa mkulu

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Hilo igizo limekaa poa kweli duh...! Hongereni[emoji12]
  9. mchepuko wa mkulu

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wadau wa Miss Lake zone 2016

    Hako kadada jina limenitoka kidogo ila kama sikosei kwao ni Arusha. Ngoja nimuulize mdau mmoja hivi then ntakuPm.
Back
Top Bottom