Inawezekana kuna kaukweli apa maana huwa nikiwa baadh ya maeneo ya vijiji vya kilimanja huwa kuna vitu vingi vya kenya huingiliana sana na kilimanjaro na pia nikiangalia mji wa Taveta kiuhalisia upo jirani kabisa na moshi kuliko ilipo Tarakea hivyo eneo la mlima lillichongwa na kuitwa Tanzania...
Kuwa na adabu unapoongelea taasisi za dini hawa si wahuni wenzako kama mlivyo nyie ni bora ujifunze kujiheshimu maana hujafa hujaumbika na mungu alivyo wa ajabu utapigwa ata ugonjwa madaktari washindwe kba ujikute unaangukia kwa hao hao wenye dini tena
Nadhani ni muda umefika tuige sera nzuri za kodi ka wenzetu rwanda walivyo maana leo TRA hawakagui tena hata wasiolipa maana wanaelew hali ya biashara mtaani ni tete na kodi ni chanzo halis cha kuua biashara leo hivyo wasipoamka mapema basi mapato yatakua ndo basi tena
We ni katiba ipi ya nchi unayosemea au ni ya mqgogoni labda ndo tujue maana sjaona katiba yoyote inayoongoza nchi kwa sasa zaidi ya akili za kina juha na nduguze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.