Recent content by mchatts

  1. mchatts

    JamiiForums Tanzania Tigo acheni wizi wa salio la wateja na kuwaunganisha kiuwizi huduma zenu ila mlambe salio!

    Hawa watu ni wezi sana naona huu ndio utaratibu wao wa kujiongezea mapato. TCRA malalamiko dhidi ya hawa watu yamezidi au hamuoni?
  2. mchatts

    JamiiForums Tanzania nissan patrol sale/exchange

    Mkuu nitumie picha whatsapp 0718735540
  3. mchatts

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumkopa tena mtu anaekudai

    Ngoja nije nikope kwako ili nijaribu hii janjajanja
  4. mchatts

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Barcelona
  5. mchatts

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Kwaheri mkuu ila naona hata kule huonekani au nako uliaga?
  6. mchatts

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vipi kama simu ina salio unajiungaje au ni lazima ununue vocha na kukwangua?
  7. mchatts

    JamiiForums Tanzania Plot for sale mill 2

    Kimepimwa na ni cha ukubwa gani?
  8. mchatts

    JamiiForums Tanzania Jibu swali langu? Wengi watafeli hesabu yangu

    25
  9. mchatts

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Umbali gani toka eneo la uwanja mpya wa ndege
  10. mchatts

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Wanaume wa Dar tumejawa na uoga na ubinafsi

    Wanaume wa buguruni mmetudhalilisha sana
  11. mchatts

    JamiiForums Tanzania Mjue Mtoboaji macho, Salum Njwete (Scorpion) na watu wake

    Ngoja tufanye mkakati wa kufunga dojo lake
  12. mchatts

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

    Safi sana mama Ndalichako
  13. mchatts

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa hesabu, nisaidieni

    Hapo hakuna jibu mkuu
  14. mchatts

    JamiiForums Tanzania Yaya Toure analalamika nini? Sio kila siku yeye, Aubameyang naye anastahili tuzo, eboh!

    Tatizo la hizi tuzo wametumia vigezo vya 2016 kutoa tuzo za 2015
  15. mchatts

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari ya Nissan, Mazda yapo 5 yanauzwa bei chee

    Mkuu mazda na nissan ni magari mawili tofauti. Au ni mazda mlizofunga engine ya nissan?
Back
Top Bottom