Recent content by Mchathu

  1. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, lini umewahi kulisaidia taifa?

    Pumbavu
  2. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Demokrasia Tanzania: U-Magufuli na mabadiliko yasiyo na baraka za Watanzania

    Pascal, ivi kweli unatuambia tunaweza pata maendeleo bila kuwa na demokrasia? Nitajie nchi moja duniani ambayo haina demokrasia lakini inamaendeleo.
  3. Mchathu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mlenta mada nawe ni ng’ombe tu. ACT itang’aaje wakati wagombea wote wameenguliwa?
  4. Mchathu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Inaweza kuvunja historia ya kutia aibu

    Najua nafsi inakusuta kwaulichoandika.
  5. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Iringa imemchoka Msigwa!

    Sasa unatuambia sisi umu JF ili tufanyaje?
  6. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi: Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Nachingwea Watenguliwa

    Leta ushahidi kwamba msigwa ndokaitoa.
  7. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi: Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Nachingwea Watenguliwa

    Kweli niyakuuza mkuu. Angalia izo signature.
  8. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi: Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Nachingwea Watenguliwa

    Hiyo barua sio ya msigwa.
  9. Mchathu

    JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta nyumba yakupanga Tanga

    Heshima kwenu wakuu. Mwenyezi Mungu amenisaidia nimepata kazi Tanga hivyo yeyote anaefaham au anaweza nisaidia kupata nyumba maeneo ya Kange karibia na stendi mpya ya Mkoa asisite kunifahamisha. Natanguliza shukrani kwa yeyote atakaefanikisha hili.
  10. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Rais Yuko kazini, hakutani na Watendaji wa Kata kama Mwenyekiti wa Chama

    Icho kikao kitakuwa live mubashara kama kile cha wafanyabiashara?
  11. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mzalendo namba moja Tanzania

    Yaa nikweli Rais ni mzalendo namba ‘mija’ . U r right broo.
  12. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ndoa zote ndani ya mkoa wa Dar es Salaam kusajiliwa

    Ivi huyu jamaa ni mpumbavu au mjinga?
  13. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

    Ng’ombe kabisa wewe
  14. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Siku ya nne bila maji Kibamba, Dar (Juni 9, 2019)

    Changanyikeni pia
  15. Mchathu

    JamiiForums Tanzania Nani anafadhili Change Tanzania?

    Acha umbea na udaku. Sasa ukishamjua uyo mfadhili utafanya nini?
Back
Top Bottom