Nani anafadhili Change Tanzania?

Nani anafadhili Change Tanzania?

Kwani Wewe kuandika hapa umefadhiriwa na Nani? Akili za kimaskini kufikiri kwamba kila kitu ufanyacho lazima ufadhiriwe.
50% ya kila kinachofanyika Tanzania kimefadhiliwa, je Tanzania tuna akili za kimasikini? Pedi unazovaa zimefadhiliwa, je wewe ni masikini? Hata kondom zinazotumika kukutafuna zimefadhiliwa.
 
Kumbe ndo maana unaamua kufua hizo kondom ili ukasuguliwe nazo.kwa Mara nyingine sababu ya umaskini?Lakini pia Tabia ya kushare pedi na mama yako mwisho utaambukizwa magonjwa.kuwa makini
 
Wacha wafadhiliwe tu maana wanafanya kazi nzuri sana ila inawauma kweli kijani kibichi a.k.a wapiga mashangazi .
 
Kuna hii taasisi inajiuta change Tanzania inayoongozwa na Maria Sarungi.

Ningependa kujua hii taasisi nani anaifadhili maana inaonekana kuendesha makongamano na matamasha ya kiuanaharakati kila mara ila hawana biashara yoyote ya kuwaingizia kipato.

Swali langu, je nani anaifadhili hii taasisi?

Na Mimi naomba Kukuuliza hapa hapa Mkuu kwamba hivi wale ' Wasiojulikana ' nchini Tanzania nao wanafadhiliwa na nani?
 
Kuna hii taasisi inajiuta change Tanzania inayoongozwa na Maria Sarungi.

Ningependa kujua hii taasisi nani anaifadhili maana inaonekana kuendesha makongamano na matamasha ya kiuanaharakati kila mara ila hawana biashara yoyote ya kuwaingizia kipato.

Swali langu, je nani anaifadhili hii taasisi?
Serikali ya Magufuli na CCM ndiyo wafadhili wakubwa mkuu usihofu.
 
Kuna hii taasisi inajiuta change Tanzania inayoongozwa na Maria Sarungi.

Ningependa kujua hii taasisi nani anaifadhili maana inaonekana kuendesha makongamano na matamasha ya kiuanaharakati kila mara ila hawana biashara yoyote ya kuwaingizia kipato.

Swali langu, je nani anaifadhili hii taasisi?

Nadhani haya ndiyo matokeo ya collective imbecillisation.
 
Swala cio saport kinachoongelewa mnakielewa? Na they are doing concioutization cio harakati. What I discovered ni kuwa makongamano ya kijinga yasiyo na impact positive kwa mtanzania hamuyahoji ila yakikata kwenye mfupa mnarukaruka
Kweli kamanda anaacha kuuliza vitu vya maana kama gari la chama ilikuwaje likaandikishwa jina la Mwenyekiti. Na mwenyekiti YUPO!, Makamanda WAPO! alikina Lema WAPO?
 
Prof kabugi na polepole
Kuna hii taasisi inajiita change Tanzania inayoongozwa na Maria Sarungi.

Ningependa kujua hii taasisi nani anaifadhili maana inaonekana kuendesha makongamano na matamasha ya kiuanaharakati kila mara ila hawana biashara yoyote ya kuwaingizia kipato.

Swali langu, je nani anaifadhili hii taasisi?
 
Acha umbea na udaku. Sasa ukishamjua uyo mfadhili utafanya nini?
 
Kuna hii taasisi inajiita change Tanzania inayoongozwa na Maria Sarungi.

Ningependa kujua hii taasisi nani anaifadhili maana inaonekana kuendesha makongamano na matamasha ya kiuanaharakati kila mara ila hawana biashara yoyote ya kuwaingizia kipato.

Swali langu, je nani anaifadhili hii taasisi?
Wewe ni miongoni mwa watu wasiopenda ukweli,yani wale wasiotumia critical thinking, bali ni watu wa kumshangilia mtu kwa kila atakachokisema(Watu wa mapokeo)Kwani wewe anayekufadhiri ili uwe shabiki ni nani?Sasa iweje uulize juu ya Maria Sarungi kuwa anafadhiriwa na nani?Kwa ufupi ni kwamba,mfadhiri wa Maria Sarungi anaitwa Maria Sarungi.Hii ndiyo tofauti na wewe ambaye mfadhiri wako ni utashi wa mtu mwingine.
 
Umeshasema taasis in maana imesajiliwa kialali na sio lazima iwe na biashara yenye kuleta faida ili kujiendesha. Kuna vyanzo vingi vyakuendesha taasis na moja ya mashart kwa taasis za tz no transparency ktk vanzo vya mapato.
Naona unaongea kwa kuituhumu utafifkiri hii taasis inafanya hujuma. Watembelee uliza maswali yako yote utajibiwa
 
Back
Top Bottom