Recent content by mcharazo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serious man needed baadae awe mume

    Njoo,ninavyo!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Update: House girl anataka penzi liende hatua nyingine

    Mpangie tu chumba usione shaka!endelea kukamua mzigo mdogomdogo!ili awe na uhakija zaidi muwekee zygote! penzi la beki 3 tamu wee acha kabisa!!,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Kihistoria Bungeni

    Haki yake mpeni jamaaa anachapa kazi ni hivi majuzi tuu alitatua mgogoro mkubwa tena wa miaka mingi kati ya kiwanda cha Wazo hill na wavamizi was Chasimba,mgogoro huo ulikuwa ndani ya jimbo la Halima Mdee ndio sababu anamkubali sana Lukuvi!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania wanahitaji ripoti kuhusu MCHANGA(makombo)au DHAHABU iliyozalishwa na migodi?

    Umenikumbusha issue ya "mapank"ya samaki was lake Victoria!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watu wa Mkuranga wanalalamika kupigwa na Polisi

    Hii issue inahitaji zaidi inteligensia kuliko kutumia nguvu!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Pole sana!Huyo mkeo inaonekana unambembeleza sana!unamwendekezaa! Anza polepole kumbinya!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Kuugua na kulazwa ghafla kwa Mhe. John Heche

    Huyo Mh John heche ndio Nani? just for understanding!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi kwanini viwanja vya Songwe Mbeya bei zake zinatisha?

    Ulitaka viuzwe bei gani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utalii TZ- Actor Will Smith yupo Tanzania kutalii kutokea USA

    Watu wapo busy na unpaid story "bashite"
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais unapokuja Ruangwa ukiwa kwenye ziara yako tunakuomba usipande ndege, njoo kwa gari

    Huko Ruangwa kwani kuna nini cha maana!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ulinzi waimarishwa taasisi ya moyo alikolazwa Manji

    Ndicho kitakachofuata!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye tumefanikiwa kumchagulia Mwalimu - Mh. Makonda

    Nakubaliana na wewe mkuu,huyu kamanda Nzoa alikuwa anapambana bila mayowe na kama siyo uadilifu wake ingekuwa rahisi sana na yeye kuwa drug dealer mkubwa hapa Tz!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mume ni mtamu asikwambie mtu

    Inawezekana na wewe papachu ilikunwa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la madawa ya kulevya: Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu mbona kimya?

    Mwigulu ameshasoma alama za nyakati,namshauri asikurupuke atulize akili achungulie game kwanza!
Back
Top Bottom