Makonda ingefaa ajifunze kwa majemedari wazawa ni jinsi gani vita ya madawa inapiganwa.
Huyu hapa kamanda mkuu ambaye kama ungeenda kwake ungejua vita hii inapiganwa vipi!
Kamanda Nzoa, mtanzania mwenye maisha ya kawaida aliyepambana vita ya madawa ya kulevya kimya kimya na kuleta mtafaruku mkubwa kwa mitandao ya madawa:-
kwa wanaomfahamu (unaweza kujazia unachofahamu juu ya Nzoa, be it positive au negative) wanamzungumzia Kamanda nzoa kama:-
Huyu hapa kamanda mkuu ambaye kama ungeenda kwake ungejua vita hii inapiganwa vipi!
Kamanda Nzoa, mtanzania mwenye maisha ya kawaida aliyepambana vita ya madawa ya kulevya kimya kimya na kuleta mtafaruku mkubwa kwa mitandao ya madawa:-
kwa wanaomfahamu (unaweza kujazia unachofahamu juu ya Nzoa, be it positive au negative) wanamzungumzia Kamanda nzoa kama:-
- Mpambanaji aliyekataa uswahiba wa aina yeyote na mtu aliyekuwa akitumia. kuuza au kushukiwa kutumia drugs. kwake ilikuwa ngumu kununulika, kupendelea au hata kuhisiwa vibaya juu ya vita yake ya dawa za kulevya.
- kamanda Nzoa aliridhika na maisha aliyokuwa nayo, hakuwa kwenye mashindano, hakuwa mwenye ndoto au matarajio ya maisha ya ajabu, na kwa wanaomfahamu wanasema hata dealers walikuwa wanamcheka atakufa maskini kwa "unoko" wake naye hakujali kubezwa huko!
- Nzoa ameangusha vigogo wakuu wa unga nchini. amekamata mizigo mikubwa ya unga katika operations nyingi walizozifanya yeye na makamanda wachache (akiwemo kamishna mpya. kamanda Sianga) hawakuwa na coverage kubwa za maadui.
- Shkuba na Chonji, ni miongoni mwa majina makubwa ya waharifu wa mihadarati waliokamatwa kimya kimya bila ya mayowe. hawa ni Zaidi ya kina wema walioshikwa na msokoto mmoja kwa kutumia nguvu kubwa ya jeshi, media na vikao vya bunge!
- hutakiwai kula pesa ya drugs hata kwa bahati mbaya; hataa kama una rafiki kakupa zawadi yeyote kwa pesa za drugs then kuna ukakasi katika kuchukua hatua. Nzoa anajua jinsi ya kukwepa mitego. so kama kweli unataka kupambana nenda kajifunze mbinu hii.
- kutomuamini mtu. Wanasema ktk operations kubwa mzee alizokuwa anaingia front, alikuwa amsimulii mtu, apangi kikosi, ni just kukurupushana kwenda kazini na team tofauti bila ya kutoa ramani ya vita hadi mkiwa eneo la tukio huku akidhibiti mawasiliano yenu. kwa maana hiyo vithibiti hupatikana na huo ndio mtaji mkubwa wa vita. kwa kuwa drugs ni kosa kubwa then ushahidi beyond reasonable doubt unatakiwa katika kumshtaki mtu, lkn pia dealers ni matajiri mno, ukikosa ushahidi watashinda tu katika kesi hivyo mnakuwa mmepoteza nguvu na pesa za umma ktk vita bubu!
- USICHANGANYE VITA: ukitoa loop tu ya kuchanganya vita vya drugs na vita nyingine yeyote, ujue uta-loose focus na vita yako itakuwa imekufa kabla ya kuanza!
- kuna mengi ya kujifunza, naomba mtafute atatusaidia ktk vita hii tukufu! najua ukimuona mwenyewe master Nzoa utajifunza mengi!