Recent content by Mchapakazi sana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mlio kwenye ndoa wake zenu wanawagopa kama wa kwangu?

    Bora ata akuogope tu kidg ataheshim na ndugu zako bt wengine wanatabia mbaya ata mama mkwe wake tu hamuheshim wala hamuogop
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa

    Bado tu unasearch?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Harakati za kutafuta kazi: Nimetumiwa ujumbe huu nikajibu hivi, je nimekosea

    Ata mm hyo mtu alinitumia kwa post ya accountant nlimjibu km ww bt hakujibu chochote ad leo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pata kuku wa nyama hapa

    samahan mkuu kwa kutokutaja bei ni sh elfu 5 upungufu upo inategemea na idadi ya wangap unahitaji
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pata kuku wa nyama hapa

    Habari za wkend wapendwa wapendwa nauza kuku wa nyama na kusambasa mahoteli na sehem zozote panapoitajika, mzgo utakufkia popote ulipo ndani ya dar es salaam pekee kwa maelezo na mwenye kuhitaji njoo PM tuongee biashara. Ahsante.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pata Mazuria ya kisasa hapa

    Habar Tunatengeneza mzuria ya kisasa kabisa kwa bei poa, tupo Dar Ukonga, tunapokea oda sehemu yoyote. Kwa anahitaji popote alipo ani PM. Bei ni ndogo kabisa na saiz zote zinapatkana . KaribunI sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi

    Habari ndugu zangu msaada wenu ni muhimu nnamdogo wangu anatafuta kazi yoyote inayohusu ukarani, secretary na nyenginezo halali kasoma certificate ya sheria pia anauzoefu wa miezi 6 mahakaman kama karani kwa yoyote mwenye taasisi au kampuni ambaye anaweza kumsaidia ani PM atashukuru. Asante.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    Da hama kweli kwenye miti hakuna wajenzi daaah nataman ningepata mtu anaenijali hv bt pole mov on utapata mwngine
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi-Secretary-shule ya Sekondari

    Me nauzoefu bt sijasomea secretary
  10. M

    JamiiForums Tanzania Interview MOI

    Walifanya usaili jumatano na ilikuwa oral tu majibu siku yoyote mwez huu bt inasemekana kuna watu wao wamesha wapanga cz kuna ambao walikuwa wanajitolea pale nao wamefanya interview
  11. M

    JamiiForums Tanzania Interview MOI

    yap zile za april
  12. M

    JamiiForums Tanzania Interview MOI

    Majina hawajaweka popote wamewapigia simu na barua zimetumwa kwa njia ya posta anuani uliyoandika
  13. M

    JamiiForums Tanzania Interview MOI

    Habar wanandugu msaada unahitajika kuhusu maswal yanayoulizwa kwenye interviw kwa upande wa social welfare officer, kuna ndugu yangu ameitwa interview pale MOI msaada plz.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Leo TANESCO mmetuweza

    Jaman tuvumilieni tu tupo kwenye mchakato wa kuurudisha mda c mrefu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi stationery na printing shop, Dar es Salaam

    Me adi graphic naweza lakini cheti sina
Back
Top Bottom