Recent content by mchallo

  1. M

    Naombeni msaada wenu wa mawazo...kuhusiana na matokeo yangu

    hapo ni diploma in nursing or education, over
  2. M

    Naombeni msaada wenu wa mawazo...kuhusiana na matokeo yangu

    chagua education nauhakika utapata chuo na mkopo juu. Ila wahi kuaply vyuo vya private. Chuo umepata hongera.
  3. M

    Naombeni msaada wenu wa mawazo...kuhusiana na matokeo yangu

    navyofahamu mimi bila kuwa na principal pass mbili huwezi kwenda university. Huyo bwana yeye ana moja tu.kwahiyo kwa ushauri wangu ajaribu kufuatilia advance diploma au diploma.
  4. M

    Matokeo kidato cha sita 2012 yametoka

    nimeangalia web. Ya necta inasomeka it is forbiden so nafikiri muda si mrefu watarelease.
  5. M

    Mikopo elimu ya juu

    mafisadi wamemaliza fedha zote.
  6. M

    Heslb vip mkopo wa april mbona jordan-moro tunapata shida?au serikali imefulia.

    kwa taarifa yako ni tawi la saut. Angalia kitabu cha tcu 2012/13. Halafu visit web. Www.morogoro.sds.org
  7. M

    Heslb vip mkopo wa april mbona jordan-moro tunapata shida?au serikali imefulia.

    wewe ni mmoja ya wale watu washamba, waliozaliwa kijijini, wakakulia kijijini,kusoma shule ya msingi na sekondari kijijini na advance mikoa ya nyanda za juu na kusini halafu ukabahatika kuchaguliwa na tcu udom, ndo unajiona mjanja kumbe hamnazo.
  8. M

    Matokeo kidato cha sita 2012 lini??

    Leo ni lazima matokeo yawe released. Kwahiyo kaeni mkao wa kuvuna mlichopanda.
  9. M

    Matokeo kidato cha sita 2012 lini??

    uhakika ni kesho au j.tatu.
  10. M

    Heslb vip mkopo wa april mbona jordan-moro tunapata shida?au serikali imefulia.

    unajua hivi vyuo vya kidayosisi vina mapungufu sana katika kufuatilia pesa za wanafunzi. Wao kwasababu wanakula mipoki na mivyakula mingine free of charge ndio maana haifuatilii hela zetu, lakini kwa safari hii wakizifixed fedha zetu na sisi tutawakomesha. Sasa hivi hata dayosisi kuna magamba...
  11. M

    Limekaaje hili la diploma to digree...

    saluti mkuu hapo umenena.
  12. M

    hodi

    jamani mimi ni new member. Nafurahi sana kujiunga na jamii forum ili kuendeleza gurudunu la maendeleo.
Back
Top Bottom