Matokeo kidato cha sita 2012 lini??

Status
Not open for further replies.
Apology for getting ur hopes up but the guy contacted me n said they had small problems but whatever the case they،ll release them 2mmorow! All the best kwa wausika
 
I contacted one of NECTA's IT personnel anasema instructions walizopewa ni kuwa they should release them on 26th which is thursday!! So kesho kutwa vijana mjiandae kuvuna mlivyopanda,kama ulipanda maboga usisubiri machungwa!! Kesho kutwa m-tune TBC watatangaza b4 releasing them!
Huyu anawadanganya NECTA ya siku hizi haina waropokaji
 
Apology for getting ur hopes up but the guy contacted me n said they had small problems but whatever the case they،ll release them 2mmorow! All the best kwa wausika

Leo vipi tena mkuu bado unapigw fix au jamaa amekupotezea.hopeful kesho au j3 kitu kitakuwa hewami
 
hayajacheleweshwa mkuu,,, kwa experience yangu,huwa yanatoka kuanzia 1st may,,,

mwaka jana wali release 28aprl na 2010 24aprl
tusubiri hiyo j3 ila kuna madogo presha ishapanda na uakika yamechlea sirikali ya jey key inakizungumkuti cha wizara kuanzia makatbu adi mawazri.
 
Kwa taarifa za uhakika toka kwa mama ndalichako,matokeo ni tar 30/april kabla ya saa 10 jioni..waliokua wanachukua michepuo ya arts na biashara inasemekana wameharibu sana,tanzania one ni demu anatoka marian girls mchepuo wa Pcm.ukitaka maelezo zaidi ni PM.over
 
now u talk as a senetor brah!
 
Kwa taarifa za uhakika toka kwa mama ndalichako,matokeo ni tar 30/april kabla ya saa 10 jioni..waliokua wanachukua michepuo ya arts na biashara inasemekana wameharibu sana,tanzania one ni demu anatoka marian girls mchepuo wa Pcm.ukitaka maelezo zaidi ni PM.over

Hapo kwenye red......Ukumbuke kurejea hapa kuomba radhi kwa kuwadanganya wadanganyika mara yatakapotangazwa.....
 
nina uhakika na nilichokiandika.over

kuhusu t1 ninaweza ungana nawe walikuwepo madogo waliokuwa wanachuwana wa3 huyo wa marian ,feza b na kibaha wote hawa ni pcm naweza amin dada kawagaragaza vijana walikuwa wamewekeana bifu kabsa tangu tokeo la form 4 walikuwa top 3 hawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom