Mikopo elimu ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikopo elimu ya juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by JADA, Apr 30, 2012.

 1. J

  JADA Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imesikitisha sana kusikika fununu za kunyimwa mikopo kwa wanachuo kwa kozi mbalimbali za sayansi licha ya kipaumbele kilichokuwa kimewekwa na serikali hapo awali.......... wadau mnazungumziaje hili suala, ntawapa fununu zaidi...... siasa kwenye elimi ni uozo usiovumilika jamani
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hili tatizo la mikopo ni kama janga la ukosefu wa umeme wa kuaminika nchini.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha sana,cjui madogo wataishije vyuon kwa kweli.
   
 4. D

  DOSMAN Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hv itakuwa rahisi kweli kwa watoto wa wakulima halisi kupata elimu ya juu?ndo 2seme serikali imefilisiwa na wenye mabavu
   
 5. m

  mchallo Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mafisadi wamemaliza fedha zote.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Serikali ndo inawajengea wanafunzi wa kike mazingira ya kujiuza!
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa Tz tumebaki tukiishi kama nchi ya kusadikika tu kwani hakuna kinachofanyika kwani kila kitu kimekaa shagala bagala
   
 8. D

  Danvis Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili tatzo kwa upande wangu lilinisabbisha nisisome Medicine ikabdi niende koz zingne kisa eti serikali haina hela, na huku hela zingne wanafanyia tu matumzi yasiyo ya lazma.
   
Loading...