Recent content by Mchalinze

  1. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hajawahi Kushindwa Ama Kupoteza Vita Yoyote ile na Hajawahi Kushuka Tangia Alipoinuka

    Ebu nitajie marais wawili waliopita ambao walikuwa na ushamba wa madaraka
  2. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Dada zetu vipi mbona mnataka kuhudumiwa tu shughuli hamtaki kutoa au ndo mbinu yenu mpya

    Duuu parefuu hapo kaka
  3. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Scanner za nCard katika Vivuko vya Azam Marine – Kivukoni Ferry

    Vya kwetu walala hoi ukiscan inaonesha maandishi ya 'wellcome' na ikiwa salio halitoshi inaonesha isufience balansi kaka, na pia kama salio umeweka kwa wale watu ambao wamekaa nje wanakata 100 kwenye kila jero
  4. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Tumuombee Uzima na Usalama Rais Samia ili aweze kumaliza ngwe yake. Hili ni la muhimu sana kwa nyakati kama hizi

    Si yupo Ndejembi jamani, afu ni presidental material kabisa
  5. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye jambo langu na Bima ya afya

    NIlijikatia bima mimi nikamkatia na mtoto na nikamkatia na mke wangu
  6. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye jambo langu na Bima ya afya

    Samahani ungeitaja ni kampuni gani ya bima hiyo mana NHIF waliniambia hawana mfumo wa kutambua cheti cha ndoa, nikasajiri kila mtu kivyake
  7. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche walipokuwa wakiomba kuwa viongozi wa CHADEMA Taifa, walidai Katiba ya CHADEMA ni mbovu sana wataibadilisha. Je, wamebadili nini?

    Yericko sijui umekuaje siku hizi, kwani ugomvi wako na Lissu ulianza lini?
  8. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchunguza hii mikataba wanayopewa wachina kuchimba dhahabu

    Wabongo uoga tutaacha lini? Sasa huo mkoa X ndo mkoa gani?
  9. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    Hii mechi KATAA NDOA wanashinda
  10. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Nani alitoa Amri ya kuzima Internet October 29 ? Au ni Tundu Lissu

    Kashatuliza muhemko, haya mjibu sasa ni nani alitoa oda ya kuzima internet?
  11. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kaka kimenihuzunisha sana!!

    Kwahyo ndo unatutisha au?
  12. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    KATAA NDOA mpaka sasa bado wanaongoza ball possession
  13. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Ndivyo mnavyomshaurigi rais hivi?
Back
Top Bottom