Recent content by mchagger

  1. mchagger

    JamiiForums Tanzania Movies na series Kali za Kijasusi: Chukua mbili hizi kisha shusha zingine

    Fauda Homeland Sniper
  2. mchagger

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chimbo la vifaa vya simu

    Habari, naitaji msaada wa chimbo la protector na covers kkoo Ahsante
  3. mchagger

    JamiiForums Tanzania Kopesha ushangazwe

    Bora lawama
  4. mchagger

    JamiiForums Tanzania Yafahamu masoko ya mitaji/uwekezaji yaliyopo Tanzania

    Kaka mungu akubarik
  5. mchagger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    Sidhan kama waitaji ushaur
  6. mchagger

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

    Hakufa ghafla ndio sababu kiufup wameuguza kwa muda flan kwahyo walishajiandaa na matokeo kama ushawah uguza kwa muda utaelewa
  7. mchagger

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

    Binafsi hii biashara ya boda mwaka 2016- 2019 nilikua nazo 10 kati ya hzo 6 zilimaliza salama 4 zikaibwa kiufup ni biashara kichaa umasikini jiran yako
  8. mchagger

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Ni wakala mwaka jana nimetuma kama 850000 mtejaa katuma kwa tapel anajua anachart na demu wa kizungu toka UK kumbe mbongo mwenzake baada ya kutuma pesa baada ya lisaa naona jamaa kaja jasho linamtoka nikajua tayar
  9. mchagger

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM zote hakuna kitu. Uchaguzi wa mwaka huu 2024 na 2025 watu watachagua nini?

    Chadema itawashangaza wengi sana 2023 na 2025 naiyona ikiwa na wabunge wasiopungua 50 mwakan mjengon
  10. mchagger

    JamiiForums Tanzania Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

    Utoe 300000 upewe 1100 sio 550 kama sio 600
  11. mchagger

    JamiiForums Tanzania Gharama za Lipa kwa simu mbona zimepanda sana?

    Indeed
  12. mchagger

    JamiiForums Tanzania Vicoba vitamaliza wake zetu

    Vikoba chanzo cha vijana kujipigia kiulani wake za watu
  13. mchagger

    JamiiForums Tanzania John F. Kennedy, CIA na Lee Oswald: Ujuaji Vs Dola, Kitendawili cha dunia ambacho hakijateguliwa mpaka sasa

    Hatar sana makala ndefu sana ila nimejifunza mengi
  14. mchagger

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Duh mnawajua tabia zao kumbe
  15. mchagger

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Umekopa ml3 alafu warudisha ml8 how
Back
Top Bottom