Ukumbi mpya wa KIMATAIFA Upo Masaki Dar wa mikutano na matamasha unaitwa The super dome una kila kitu ndani yake
Fixed sound system
LED Screen
Stage
Fixed Lights
Fixed Camera
Tables and chairs
VIP rooms
Hata ukipewa kazi ya kuchafua na ujue ukiambiwa safisha uasafiahaje njaa itakuua maana unaandika vitu hata details huna mdogo wangu
1.Hujui tofauti kati ya Hit song na popular song hujui nani hit maker nani song writer na sikuambii sitaki nikupe faida kaa na ujinga wako
2.Waliompandisha diamond...
Hata wewe tukikuuliza vyeti huchelewi kutuambia vita ya madawa ya kulevya haitaacha mtu hahah Chawa wa bashite mpo wengi eeh au wewe mdogo wake Lemutuz
Kwanza
Utakuwa unaishi Sinza
Pili
Unaishi kwa dada yako
Tatu
Huna hela
Nne
Uko shule au umeishia Form 4
Tano
Huna vyeti pumbaav
Sita
Una tamaa
Nakushauri acha tamaa
Hahahaha Ila acha ubinafsi na lazima utakuwa bado unaishi kwa mama yako ndiyo maana umewaza hivyo kuona mama yako hajaitwa malkia wa nguvu hahahah POLE SANA
Nani amekwambia CHADEMA wote tunampinga Bashite hii ni VITA ya dawa za kulevya tunapigania maslahi ya vijana wetu mimi ni miongoni mwa wanaM4C tunamuunga mkono BASHITE achaneni na upuuzi wa vyeti Tunapiga vita Dawa za kulevya kwanza
Nimegundua asilimia 95 ya waliyomo humu ni mashabiki wa kutupwa wa CLOUDS radio na tv hahahahah nilifikiri mnaumia na clouds kumbe ndiyo njia yenu ya Kuisapoti Hongereni sana wazee wa Clouds lakini ndiyo radio pekee nchini ukubali ukatae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.