Ninatarajia nitapata washauri wema na werevu wasio na chembe ya mizaha na masihara. Kama mtu hauna cha kushauri pita tu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Habari za leo waungwa. Siku za nyuma niliomba ushauri hapa kuhusu uhusiano na mpenzi wangu, mawazo yenu nimeyafanyia kazi ila kinachonishangaza bado ninapatwa na maumivu ya kichwa ninapofikiri kumtema moja kwa moja.
Nifanyeje?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Habarini waungwana,
Mimi kila siku ikifikia saa kumi jioni kichwa kinaniuma sana nimemeza paracetamol hadi sasa nimechoka.
Naomba niambiwe tatizo hili linasababishwa na nini?
Nijambo laa maana sana, tena iwe kwa kila mwaka tarehe na mwezi kama wa leo. Nawashauri na wamasasi pia wafanye hivyo.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Pole sana mkuu ila suala lako linafanan na mimi ingawa me ni miez miwili tu, mwanamke ananiambia anatakA kupunguza kasi ya mawasiliano kwani atazoea vibaya. Ninajiuliza maswali mengi kuwa amepata mwingine au?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.