Mchumba anakuambia anakupenda sana ndio maana.....

Wa hivyo ni date moja tu..
Kama wewe ni mtaalam wa ONS unapiga na kuondoka kwa escape velocity...
 
Umenena vema b'se me nimeshaambiwa or jamaa wa TRA yule nimemkatalia kupeleka barua nataka ww upeleke ili unioe. Hawa wanawake ni hatari
 
Mie yashanikuta hzo habari za kua flani ananitaka mara ooh watu wenye pesa wananitaka..aliponambia hvyo nikamuacha papo hapo..ili akaolewe na hao wenye pesa na magari......
Na wewe nae maneno tu umeogopa umemwacha umesahau kwamba kwenye mapenzi majigambo muhimu kujionyesha kwamba na yeye ana thamani ila wewe ni juu ya hao wote walioonyesha nia, hata hivyo case yako tofauti na hii, huyo yeye akisema flani alimtaka anakwenda mbele zaidi na kusema akatoka nae usiku wakaenda hotelini tofauti na huyo wako alikuwa anasema maneno matupu
 
Kuna mmoja alidai alikutana na x wake akamwbia aingie kwenye gari yake waongee lkn akampeleka hadi home kwake, alafu kwa ujinga wake akaja kuniambia yote bila hata ya mm kumuuliza huku akidai walivyofika kwake alishuka na kukimbia kwa sababu eti alimlazimisha kumpeleka home kwake. Wanawake wengine ni pasua kichwa.
 
nitamlipia mahari fasta maana mchumba anaonekana ni hot cake halafu msema ukweli. nikishamuoa nampeleka shule akamalizie elimu yake ya secondary.
 
Back
Top Bottom