teh!teh!teh!ha!ha!ha!ha!ha!ha!kwa hiyo geto linalonuka tumbaku,viroba na fangasi kwa ukaribu huwa mtu achojoi viwalo?Geto linanuka viatu na sigara nani achojoe?
kama uko nayo kwnn usitoe tu mpaka ukajiandae dah,imanaana kama haijaandaliwa haifai kwa matumizi ya binadamu sio....
ukichanganya na papuchi tena duh ni balaa.
mambo vp wanajamvi,
nina best angu ameniletea kisa chake kipo kama ifuatavyo,
huyu jamaa yangu alimwaproch mdada mwisho wa siku wakapanga mdada aende geto kwa jamaa yangu, siku ikafika mdada akaenda kwa jamaa,kama kawaida dem akakaribishwa soda nk,jamaa ikafika mda akagongea papuchi lkn dem akamtolea nje et hajajiandaa siku hiyo alienda kuangalia tu geto ya msela, je huwa some time wanaachaga papuchi hom au nivipi?