Nassari agawa madawati ya shule Meru, Madiwani wa CCM wayakataa

Wananchi sasa wamuadabishe huyo diwani, hii mianasiasa isiyo na akili ndio inatuharibia nchi yetu. Kwa hali hii sijui tutaendelea lini.
 
Sisi wananchi wa Kata ya LEGURUKI tarafa ya KING'ORI vijiji vya SHISHTON, MARUANGO, NKOASENGA, MIRIRINY, MBAASENY , KANDASHE NA LEGURUKI tunajua kuwa huyu MH.MAJOLA anatapatapa kufuatia uchaguzi wa 2015.
Amekuwa mwenyekiti wa halmashauri asiyekuwa na maendeleo katika Historia ta Meru.
ogopeni Nassari anapambana katika vikao vya RCC barabara ya kutoka KIBAONI-KING'ORI-NGARENANYUKI hadi NAMANGA ili iingie TANROAD Majola anampinga ili isisemekane Mbunge amefanikisha baadhi ya mambo.
Wanameru wote na wana LEGURUKI tushirikiane pamoja NYOKA YUMO NDANI YA NYUMBA ZETU. NJOONI TUMTOE.
 
Sasa huo ni umbulula kabisa, mtu kajitoa halafu mijitu mingine isiyoelimika inakataa msaada huo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hawa madiwani hata mwaliko wa harusi ya Nasari waliutolea nje hawakufika.
 
Godson majola(ccm)ameukataa msaada wa madawati uliotolewa na mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki joshua nasari(chadema) katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru Wilayan Arumeru na ambaye ni diwan wa kata ya leguruki godson majola(ccm)ameukataa msaada wa madawati uliotolewa na mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki joshua nassari (chadema)katika shule nne zilizoko katika kata yake akilaumu kuwa ni lengo la nassari kutoa msaada huo ni kutaka kummaliza kisiasa aonekane hajafanya kitu.ameshamwambia afisa elimu wa halmashaur afanye utaratibu kuyaondoa madawati hayo kutoka kwenye shule zilizoko kwenye kata anayoiongoza akidai hazina shida ya madawati.
 
Mkuu kitu kizito unachosema ni upotoshaji mkubwa majoha ni mtu makini sana hawezi kubabaishwa na mtu kama nasari.taja hizo shule unazosema kagawa hayo madawati kama sio uongo ili nimuulize afisa elimu na majora
Ningeshaangaa mkuu Uzi wa nasari uuache upite bila kutia neno
 
Sisi wananchi wa Kata ya LEGURUKI tarafa ya KING'ORI vijiji vya SHISHTON, MARUANGO, NKOASENGA, MIRIRINY, MBAASENY , KANDASHE NA LEGURUKI tunajua kuwa huyu MH.MAJOLA anatapatapa kufuatia uchaguzi wa 2015.
Amekuwa mwenyekiti wa halmashauri asiyekuwa na maendeleo katika Historia ta Meru.
ogopeni Nassari anapambana katika vikao vya RCC barabara ya kutoka KIBAONI-KING'ORI-NGARENANYUKI hadi NAMANGA ili iingie TANROAD Majola anampinga ili isisemekane Mbunge amefanikisha baadhi ya mambo.
Wanameru wote na wana LEGURUKI tushirikiane pamoja NYOKA YUMO NDANI YA NYUMBA ZETU. NJOONI TUMTOE.

Huyu majola ana inferiority sana, na nimemsikia sehemu nyingi akilalamikiwa,hivi anaona watu wote wajinga? Huu ubnafsi mbaya sana. Amekuwa Mwenyekiti wa council ila ameleta maendeleo gani? Huyu haufai,
 
Hiyo Diwani Wa ccm,hawatendei haki watoto wetu,na inawezekana Hana mtoto hiyo,haingii akilini kukataa msaada muhimu Kama madawati Tena toka kwa mbunge Wa eneo hilo.
 
Ukishangaa ya Musa utakutana na ya Farao hamkumbuki ongezeko la bei ya mafuta ya taa ili kudhibiti wachakachuaji?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona nilishasema kuwa unahitaji kuwa na akili zilizokufa ili uwe mwanaCCM?
 
Kaaaz kwelikweli! Kama anaona anazidiwa yeye agawe vitabu au tablets; hii ndo italeta maendeleo kwa ushindani. (Ukipigwa ngumi ya sikio nawe mpige ngumi ya jicho, ukiulizwa unasikiaje nawe muulize anaonaje?)
 
akilaumu kuwa lengo la Nassari kutoa msaada huo ni kutaka kummaliza kisiasa aonekane hajafanya kitu.
Kwa malalamiko ya aina hii itachukua muda mrefu sana serikari kupewa msukumo wa kubadilisha mwelekeo, yaani mtu anaona mwonekano wa nyongeza ya madawati kutoka kwa mwanasiasa msamaria mwema ni tishio kwake in the future. Hivi hayo madawati yangetolewa na mmbunge wa CCM angeyakataa pia?

Navyojua mimi yeye anatakiwa kuelezea kwanini wao hawakufanya kama ni funds chache, au wamewekeza kwenye sehemu zengine zenye faida kwa jamii, baraza la madiwani limeamua kuanza na shule kadhaa na kura ndio muamuzi etc, lakini kitendo cha kukataa madawati ni public display of desperation ya kun'gang'ani kubaki kwenye siasa.

Maswali mengi yanaibuka hapo kuliko majibu maana kwa mtindo huo ni rahisi sana wanasiasa kuwekewa uncodified 'gagging order' na vyama vyao na kushindwa kutoa pressure zinazohitajika kwenye serikari yao kuu ili kuweza kuwajibika na kupelekewa maendeleo yao kwa kuogopa kilekile alichokifanya Nassari kwa nia njema (woga wa kushindwa uchaguzi ujao), kupokea hayo madawati ingekuwa ni message kwa wakubwa wao au kwenye vikao vyao vya serikari za mitaa tusipofanya wengine watafanya kama hatukufanya kwa kutokupenda inabidi tuwaeleze wapiga kura kwanini na tumshukuru mmbunge kwa kujitolea, well kama waswahili wasemavyo mficha uchi.......
 
Mwisho wa ubaya niaibu bw, nasari wala ww usiwe nashida sisi wana vitongoji tuna kuona.
 
kwa kweli inasikitisha watoto wakae chini kwa upuuzi wa mtu mmoja. kama anaona anamalizwa kisiasa alikuwa wapi asifanye mchakato wa hayo madawati. kwanza aelezee huo hizo pesa za mfuko wa maendeleo amezitumia viti. mijitu mingine kama mashetani vile

Kwanza huyo ni diwani na aliyetoa madawati ni mbunge sasa toka lini diwani akamalizwa na mbunge wakati wako katika levels tofauti?
 
Back
Top Bottom