Recent content by McFerson

  1. McFerson

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu mimba

    Huwa inatokea,issue ya hormone hiyo.
  2. McFerson

    JamiiForums Tanzania KERO Muuguzi katika Kituo cha afya cha Nyarugusu anawalangua Wagonjwa bei ghali

    Haya ni majungu. Muuguzi na kifanya upasuaji mkubwa wapi na wapi?
  3. McFerson

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

    Hata kwa password atanyakuliwa na password mkononi[emoji3]
  4. McFerson

    JamiiForums Tanzania Umejiuliza ingekuwaje kama vidole vingekuwa na urefu mmoja

    Acha mambo ya kujichukulia sheria kwenye vidole,leta nikusaidie
  5. McFerson

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

    Hizo ni story za mtaani,kila ugingwa wa jino unatiba yake. Cha msingi ukiumwa jino wahi hospitali kabla shida haijawa kubwa
  6. McFerson

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu kikosi Cha Quds hajulikani alipo. Mara ya mwisho alikwenda Lebanon baada ya kifo cha Nasrallah

    Netanyahu kanyagia hapo hapo mzee,bado Ayatollah [emoji3]
  7. McFerson

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani ladai limetungua Makombora ya Iran, inadaiwa mpaka sasa hakuna Madhara yaliyoripotiwa

    Wavaa kobazi hawawezi kukomenti hapa[emoji3]
  8. McFerson

    JamiiForums Tanzania Hii hali inaniumiza sana

    Bro kwani ulimkuta bikra? Acha kujimaliza kiboya,mbona huwa huwazii aliyopitia kabla ya kuwa na wewee? By the way,wewe haucheat? Acha kujimaliza bro,hata sisi yanatukuta tunapotezea na life linasonga
  9. McFerson

    JamiiForums Tanzania RICARDO LAIZER.from Arusha Tanzania at UCI world championship at ZURICH

    Kuna watu huku kwa wasukuma wanapiga bike kinyama,serikali iwasapoti
  10. McFerson

    JamiiForums Tanzania Hellow dear Members

    Karibu sana
  11. McFerson

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba ikifika hapa inakuwaga ngumu kumalizia?

    Hayo madirisha nimecheka sana😀
Back
Top Bottom