• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by McDonaldJr

 1. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Duh wewe jamaa siku zote unatupigia kelele sikujua kua ni shabiki wa Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nicheke tu.
 2. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Petr Cech.....[emoji1545]
 3. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Peter Cech ametangaza rasmi kutundika gloves mwishoni mwa-msimu huu.
 4. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Rudi kaangalie comment yangu baada ya mdau kuweka starting XI,alafu nionyeshe Torreira pale yaani Niles,Iwobi na Guendouz wanaanza wakati Ramsey na Torreira wako benchi alafu analeta beaf na Ozil ambae analeta balance kwenye kiungo duh narudia tena kabla ya mechi nilisema kaangalie tu kua Unai...
 5. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Matokeo yalionekana mapema tu kua hatuwezi kushinda,Unai ana matatizo ambayo akiendeleza basi tuna majanga uko mbele. Niliwahi kusema umu ila kuna mtu akanikomalia kua najifanya najua kuliko Unai ila ingawa vitu vingine viko wazi sana anapanga timu kibwege sana anasahau hii ni EPL haitaki...
 6. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Unai aombe tushinde hii game tofauti na hapo atakua kalizua yeye mwenyewe aiseeee.
 7. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Duh....!
 8. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Mambo yameanza kua mengi sasa.
 9. McDonaldJr

  Mchezaji wa zamani timu ya ARSENAL na taifa la UFARANSA PATRIC VIEIRA asilimu na kuwa muislami...... TAKBIRRRR

  Mods kama vipi pelekeni jukwaa la dini hizi takataka haya mambo ni tofauti kabisa na sisi tunaoshinda uku jukwaa la michezo.
 10. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Confirmed,date and time
 11. McDonaldJr

  Wasanii wengi wanaziondoa Nyimbo za R. Kelly vipi kuhusu Alikiba?

  Wabongo kwa unafiki tu tunaongoza,sasa ishu ya R Kelly na sisi wapi na wapi wakati hapa Bongo tunajazana kwenye show za Papii Kocha na Nguza Viking na tunamwaga miuno kila tukiusikia ule wimbo wa Seya wa mivalo kama kweli tuna huo utu tungeanza na hawa wa nyumbani kwanza sio kukimbilia...
 12. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Ndugu yangu top four sio masihara inatakiwa timu iwe mshikamano hasa na kusiwe na majeruhi ya aina yoyote ile ya muda mrefu hiki ndio kipindi ambacho hata Welbeck anakua muhimu ili kufanya squad rotation na ikiwezekana nguvu ibakie EPL tu kuokoa pumzi na muda ila Unai akileta tamaa za fisi...
 13. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  The bitter truth,inatubidi tuinywe tu hii shubiri kwa kua inaponya. Nasubiri miujiza ya kupata wachezaji wa mkopo sasa.
 14. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Huu ndio ukweli ambao mashabiki wanatakiwa kuambiwa ule mtindo wa kupeana matumaini umepitwa na wakati,good thing tumekua boosted na kurudi kwa wachezaji wetu 5 ambao walikua majeruhi ni vema Unai akomae na hii squad iliyopo ajaribu kuleta miujiza ya kutufikisha top 4 ingawa siwezi kumlaumu pia...
 15. McDonaldJr

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Wanachukuliwa wote kwa pesa ipi mkuu?hii january tunahitaji miujiza tu ila tetesi zinaonyesha kua labda tumuuze Elneny na Ospina ili ku-rise fund angalau tupambane sokoni tofauti na hapo kuna kiasi kidogo sana kimetolewa kwa usajili maana hata Juve nao wametuzunguka kwa Ramsey wamembeba...
Top