Recent content by McBrian George

  1. McBrian George

    JamiiForums Tanzania KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Hivi kuhusu music wa volume kubwa mnalalamika😂😂😂mkienda Kenya si mtakufa kabisa nyinyi😂😂😂😂
  2. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Salaam! Naomba ushirikiano wenu

    Habari za hapa ndani jamani, mko powaaaaa!!!!
  3. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Ili uwe dereva magari yenye namba za IT unatakiwa kuwa na vigezo gani?

    sawa ndugu,ila nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kwa hili na pakuanzia
  4. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Ili uwe dereva magari yenye namba za IT unatakiwa kuwa na vigezo gani?

    Habari za muda huu jamani Nilikuwa nauliza ili uwe dereva wa haya magari yenye namba za IT unatakiwa kuwa na vigezo gani na wapi pa kupeleka maombi?
  5. McBrian George

    JamiiForums Tanzania MSAADA TAFADHALI!!

    Ili uwe dereva wa haya Magari ya IT unatakiwa kuwa na sifa gani na ni wapi pa kupeleka Maombi?
  6. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanamke ambaye hafurahii tendo la ndoa, atumie dawa gani?

    Kwa mwanamke ambaye hafurahii tendo la ndoa,atumie dawa gani,yaani hafurahii wala kufika kileleni hata ukipiga mpaka asubuhi!! Madaktari msaada tafadhali!!
  7. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa wapendanao!

    Kwanini inafaa mpenzi wako akawa kwanza rafiki yako? AMANI ya kweli katika uhusiano katu haiwezi kupatikana ikiwa wahusika hawajafahamu wanatakiwa kuishi katika mtindo upi wa maisha. Kila mmoja anatakiwa kufahamu kuwa katika mahusiano na fulani si tiketi ya moja kwa moja ya kuwa na furaha na...
  8. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Naomba kutumiwa namba iliyolipia hiki king'amuzi chenye namba hii 02035679173 kwa mara ya mwisho? mimi naitwa george allen msumai nilisajili na namba 0716309408,msaada tafadhali
  9. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wa ukweli!!

    KWA WANAUME WA UKWELI Ni neno rahisi Lakini Muhimu Ambalo Mwanamke Anahitaji Kusikia Kila Siku kutoka kwa mume au mpenzi wake. NAKUPENDA Kupendwa ni mojawapo ya vitu ambavyo binadamu anahitaji sana. Chukulia mtoto mfano,toka tukiwa watoto kupendwa ni kitu kinachohitajika sana na...
  10. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ili uweze kuwa ndoa yenye amani na furaha

    yaani watu wengine kupenda kukosoa bila kuelewa kilichoandikwa matokeo yake anaumbuka.!!
  11. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Tabia za wazazi na malezi ya leo.Yanamjenga mtoto?

    safi sana baba Anjela kwa kujenga kizazi kijacho chenye maadili.
  12. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Harafu Jamani ,Nilikuwa naomba kwa mwenye uzoefu wa kutunga ratiba anisaidie mfano wa ratiba ya Harusi na Sendoff,maana nilihifadhi kwenye laptop vimefutika Kazi ya Umc ndo naianza sasa msaada jamani
  13. McBrian George

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    SALAMA HUMUUUU??
Back
Top Bottom