Recent content by Mcanada

  1. Mcanada

    Afrika kuwa na Marais wenye asili ya nje ya Afrika inawezekana?

    Naomba kukuuliza unaweza kumpa mtu asiye wa nyumbani mwako hati ya umiliki wa nyumba yako?
  2. Mcanada

    Waliolipwa kumchafua TB Joshua BBC wafichuliwa

    yaani waafrica tunachekesha, unapata wapi ujasiri wa kubishana na shirika la habari lililoanzishwa 1922 yaani hata mkichanganya ukoo wenu wote bado mnaonekana wote mmeikuta BBC, BBC ni shirika kubwa sana kuliko wengi wanavyodhani hawakurupuki ni vile mmehemka kwasababu ameguswa mtu mnayempenda.
  3. Mcanada

    Ushawahi kukutana na mwanamke mweny hii tabia?

    its a spirit of demonic hasa kama ni muathirika wa kutazama ponography ambapo kwa mujibu wa tafiti wanawake wanapishana kidogo sana na wanaume
  4. Mcanada

    Natafuta kijana anaejua kutengeneza Mitula aje Mwanza tupige kazi!!

    usianzishe biashara kwasababu ya mihemko ya aina yoyote.
  5. Mcanada

    Kuachwa kusikieni tu!

    bado hujakua aisee, happy new year
  6. Mcanada

    Website ya UTT haipo hewani na nimeweka zaidi ya milioni 100 nimepanic. Vipi hatujapigwa huko?

    Mimi naishi ughaibuni (Diaspora) ila nimekuwa mwekezaji mzuri kupitia taasisi ya uwekezaji inaitwa UTT ipo hapo kwetu bongo na nimejiunga na mfumo wa kupokea gawio la faida kila mwezi uitwao BOND fund na sasa nimeshaweka zaidi ya milini 100 sasa mpaka muda huu nataka kwenda kulala akili inagoma...
  7. Mcanada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kuna mtu alituma code humu ni mjinga sana kadola 20 kameenda aisee.. ila naona code nyingi ni za uongo uongo sirudii tena shwaini
  8. Mcanada

    Kazi ya Ukondakta: Usipoidhibiti nafsi, zipu haitofunga

    Madereva wa bajaji na gari za uber wanapita huu uzi kama hawaelewi
  9. Mcanada

    Nimesababisha taharuki kwa vibaka usiku wa jana

    AKILI umezivundika wapi mkuu
  10. Mcanada

    Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

    Unachokipenda ndicho kitakachokuua.
  11. Mcanada

    Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    Hapana mkuu! mimi ni mtanzania kiasili, sina attachments zozote za ugaidi, sipendi kuuwa mtu/watu. Peace!
  12. Mcanada

    Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    Mungu akubariki sana mkuu Sang'udi ulichonitumia kimejitosheleza its a well detailed document. Be Blessed man.
  13. Mcanada

    Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    sina nia mbaya nataka hiyo ramani kama overview layout nipate kufanikisha mpango wangu wa kujenga apartments kila wilaya ntakayochagua.. sipo Tanzania kwasasa.
  14. Mcanada

    Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    Duuh huwezi kuwa umevurugwa kiasi hiki😅
  15. Mcanada

    Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    Mkuu nimetafuta sana sijapata nilichokianisha hapo juu.
Back
Top Bottom