Kuachwa kusikieni tu!

Kuachwa kusikieni tu!

Time hills mdogo wangu.

Ukweli uliousema ni kuwa si kila mtu pengo lake linazibika, unajifunza tu kuishi bila yeye…. (Haya ni maneno niliyotoka kumwambia rafiki jana, given his situation ya kuachwa gafla na mtu aliyepanga kumuoa na kufika naye mbali)

Ana hiyo second option yake lakini hayuko sure kama anaitaka, nimemwambia tu asubiri akiona ameheal ndio anaweza fanya maamuzi sahihi.
Time hills tena!

mkuu hapo ulitaka kuwachota wamakonde au ndio umemaanisha time hills kwelikweli😁
 
Nimevurugwa asee mimi ni mtu makini sana pale linapokuja kwenye swala la kutumia hisia au akili huwa naweza ku handle any bad situation inayo niface mbele yangu! Kuna ile formula ambayo wanaume wengi tunaitumia yani unakuwa na wanawake zaidi ya mmoja inaweza ikawa 3 au 4 ili mmoja akizingua basi pengo lake unaziba fasta!

Asee niwe mkweli hii formula ni kweli nzuri lakini kuna wanawake wengine mapengo yao kuzibika inachukua muda hata kama unao madem 10

Kuna pisi moja toka juzi haipokei simu, nikimtext anasoma tu then hajibu chochote hasemi shida nini yupo kimya tu na ndo nilimpitisha kwenye mchujo mkali ikiwezekana mwaka huu nimuoe lakin ghafla kanibadilikia kama sio yeye vile nikikumbuka zile ahadi na moments tulizo practice pamoja dah asee

ukweli ni kwamba hata uwe na madem 100 kuna yule mmoja ambayo akikuzingua asee lazima ulale na viatu kidogo kabla hujarudi kukaa sawa dah!
Hii imekuingia mkuu
 
bado hujakua aisee, happy new year
 
Time heals mdogo wangu.

Ukweli uliousema ni kuwa si kila mtu pengo lake linazibika, unajifunza tu kuishi bila yeye…. (Haya ni maneno niliyotoka kumwambia rafiki jana, given his situation ya kuachwa gafla na mtu aliyepanga kumuoa na kufika naye mbali)

Ana hiyo second option yake lakini hayuko sure kama anaitaka, nimemwambia tu asubiri akiona ameheal ndio anaweza fanya maamuzi sahihi.
Dah ni maumivu kwakweli
 
Dah ni maumivu kwakweli
Maumivu yapo kwa ajili ya kutujenga na kutuimarisha, take it easy and let all the moments go. Kuumia ndio kupona inaumiza Sana kusalitiwa. Nasema inaumiza kwa sababu Mimi ni Muhanga nilitelekezwa na familia Mama mzazi Tena nilikuwa naumwa. Niliumia Sana Mkuu. Mpenzi kitu gani potezea angalia mambo mengine.
 
Dancing w my eyes closed .
Cause everywhere I look I still see you.
And time's moving so slow ,
I don't know what else I can do ..
I still dancing with my ai Yaya Yaya aiya yaaais Closed
 
Back
Top Bottom