Recent content by MC44

  1. MC44

    JamiiForums Tanzania Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

    Njugu gani ? Hizi njugu mawe?
  2. MC44

    JamiiForums Tanzania Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

    Iko na familia
  3. MC44

    JamiiForums Tanzania Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

    Nilianza ujenzi nikiwa 24 nikamaliza nikiwa 27 aisee nilikuwa napenda nyumba kubwa....nikajenga vyumba vya kujiachia....sebule kubwa ....ila kwa sasa natamani nyumba ndogo
  4. MC44

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili afungua Kanisa

    Vp maendeleo ya kanisa wadau?
  5. MC44

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

    Habari ya mechi na shule ikayeyuka.....mwal yeye alifanyiwa nn? Au alikuwa na mpango huo sema akasingizia mechi? Haya mganga wa shule
  6. MC44

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

    Watu wanajuana huku na wanakula na poa tuu
  7. MC44

    JamiiForums Tanzania Rais Samia - Wachagga tupunguze matayarisho ya pombe kutokana na upungufu wa nafaka

    Hakuna mchaga aliyewahi kulia njaa
  8. MC44

    JamiiForums Tanzania Biblia, kitabu cha ajabu maishani mwangu

    Wa kwanza
  9. MC44

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Utamaduni wa mkoa wa Kilimanjaro kufanyika kesho 22/01/2022, mgeni rasmi Rais Samia. Machifu wote watahudhuria

    Hakuna wachaga wa kufanya huu usembo hata wa kishumundu hawawezi... anyway..... Acha afungue nchi
  10. MC44

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni Ngumu sana. Njooni tujadili hili wadau...

    Yote inatakiwa makubaliano. Unajua huna uwezo...mwenzako anataka mtoto wewe umeingia ndoani fasheni huna haja ya mtoto au kwa vile huwezi...(sizitaki mbichi hizi) Ni muda mrefu hunyandui umeoa ya nn? Ungekuwa jirani yangu ningekusaidia yooote ya ndani
  11. MC44

    JamiiForums Tanzania Kwanini magazeti ya Serikali na CCM hayaripoti kesi ya Mbowe?

    Siku wakifungwa wataandikwa
  12. MC44

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliwahi kuagiza simu kwa huyu jamaa?

    Jitose tuu uje ushuhudie mkuu
  13. MC44

    JamiiForums Tanzania Kwanini wamachinga wameandamana huku wakisema "tunataka soko letu"?

    Tusubiri uchunguzi! Fine barabarani hatutakiwi...soko letu ndo hivyo....cha msingi tusubiri kuhamishiwa kilosa
Back
Top Bottom