Recent content by mc1886

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    brentford kakuharibia....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chuo cha guidance and counseling

    Kwa yeyote anakifahamu chuo chochote kilichopo dar wanafundisha guidance and counseling kwa level ya cheti naomba anijulishe.. Ukiacha KIU USTAWI na TIU.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maths teacher needed DSM

    A-level maths teacher with Cambridge syllabus experince is urgently needed. Send your CV at info@laureate.or.tz
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua powertiller (kubota)

    Natumai humu ndani nyote hamjambo. Poleni na majukumu. Nahitaji kujua gharama za powertiller aina ya kubota naweza pata wapi hapa Dar na price zikoje. Yeyote mwenye kujua tafadhari naomba unijuze. kama unauza niPM namba yako ili tufanye biashara. asante.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa kuandika mchanganuo wa biashara.

    Habarini za leo? Natafuta mtaalamu wa kuandika mchanganuo wa biashara. NIKO DSM. Nauhakika hapa ndiyo mahali pake. Yeyote mwenye utaalamu huu naomba anifahamishe ili nimpe details. Natanguliza shukursni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nani yuko macho tupige stori?

    Ni jambo jema kushukuru....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nani yuko macho tupige stori?

    Heri ya mwaka mpya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania I pad.. I need advice.

    Asante kwa kunijuza.
  9. M

    JamiiForums Tanzania I pad.. I need advice.

    Ni ipad ndugu yangu, sikujua kama kuna kitu kingine kinaitwa i paid? Dah!
  10. M

    JamiiForums Tanzania I pad.. I need advice.

    Asante kwa kunirekebisha,uko sahihi kabisa. Point taken and Thanks in advance.
  11. M

    JamiiForums Tanzania I pad.. I need advice.

    Hello, wajenzi wa Taifa, kwema? Nahitaji kununua I PAD mpya, Ipi ni bora zaidi kati ya Sumsung na apple? Ni wapi naweza kupata quality nzuri hapa Dar? What things should i consider as important when serching? How does the price range? Thanks in advance.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wenye utaalamu na ps 2 naombeni msaada

    Thanks in deed.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wenye utaalamu na ps 2 naombeni msaada

    Asante kwa ushauri wako... wapi naweza pata na zinakost sh. ngapi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wenye utaalamu na ps 2 naombeni msaada

    Asante kwa ushauri, is just i have a play station center therfore is easier to play games via usb/flash disk other than from cds... and I dont want to be buying new games every now and then.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wenye utaalamu na ps 2 naombeni msaada

    Ziko 3, moja inatumia adapter na 2 zinatumia wire direct.
Back
Top Bottom