Recent content by Mbwela Matu

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kukataliwa kwa wahitimu wa BA in History and Political science kwenye Ajira Portal

    Inabidi Chuo ndo wawasiliane na watu wa utumishi kufafanua... vinginevyo hata mimi nisiyezijua hizo kozi naweza kutafsiri kwamba wa History and Political science haendani na hiyo kazi... Inawezekana mlikuwa mnasoma pamoja kozi za Political Science sio Public Administration... Sorry, hayo ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Majaabu sana imenitokea jana

    Evelyn Salt...hivi majibu kwenye post mbalimbali unayatoa wapi? 🫡🫡
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

    Bila shaka hii haiwahusu wa Riverside, Corner Bar, Massage Rooms etc...maana sidhani kama kuna kuulizana majina 😀
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mama Fatma Karume ashangazwa Makonda kuondolewa mkuu wa mkoa

    Hajui kwamba kaondolewa kwa sababu anaenda kutafuta nafasi ya kugombea ubunge.
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tarimba: Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha

    Chama kinampitisha mgombea halafu...mamlaka nyingine inahakikisha anashinda u haguzi/ anatangazwa mshindi!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tarimba: Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha

    Upo sahihi...ni wa Kinondoni. Comment yangu ililenga kwenye mfumo wa uchaguzi na uchama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tarimba: Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha

    Una uhakika alichaguliwa na wasomi/wananchi wa Dar?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi muundo wa KKKT upoje naona kama kila Askofu ana mamlaka yake

    Upo sahihi kabisa except KKKT Askofu ni wa Dayosisi (sio jimbo)... ila RC Askofu bi wa Jimbo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima kazima kiki ya Tundu Lissu

    Una hoja ya msingi. Inawezekana tatizo ni kwamba taasisi za usajili wa mahehebu hazina mamlaka juu ya kiongozi wa kiroho wa dhehebu lolote. Kwa mfano, wangekuwa wanatoa leseni ya uchungaji wangeweza kufungia leseni ya Askofu Gwajima bila kuathiri kanisa lake.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa aliuziwa nyumba, aliyemuuzia kafariki halafu hajabadili hati alimdanganya hana hati kumbe nyumba ina hati

    Apeleke nyaraka za mauziano kwa mwanasheria...mwanasheria akizisoma atapata pa kuanzia. Maelezo yako ya jumla hayatoshi kutoa ushauri kamilifu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

    Hii mada imepita tukiwa kwenye mnuno ambao haujawahi kutokea!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

    Hapo kwenye picha sio Ramadhani Kailima...huyo aliye na Nchemba ni Prof. wa Uchumi...alikuwa UDSM na baadaye Chuo Kikuu cha Tumaini DSM..sijui yuko wapi kwa sasa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

    Sisi wa Samsung A14 umeturuka hapo!!😄😄
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    Mmmggg...aka nna ujo!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

    Kuna kuoa uliyemzidi...baadaye anapata fursa nzuri na kukuzidi...hapo inakuwaje?
Back
Top Bottom