Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

Kuna aina nyingi za simu , baadhi zinafanya vizuri sokoni na nyingine hazifanyi vizuri na zikiwa na sababu tofauti . Makala hii itaangazia aina za simu zenye matatizo makubwa ambapo sikushauri kununua ikiwa unahitaji na simu nitakutajia matatizo ya kila simu .

Pause :

Mimi naitwa Mkisi , nimekuwa kwenye soko la Kariakoo kwa miaka 5 sasa nauza simu na Laptop. Unaweza nicheki …. Piga / WhatsApp +255 628210865 / 0757468193.

Kama unamaulizo yeyote , unahitaji ushauri / Simu au Laptop au Tablet.

Unaweza kutembelea Instagram, Tiktok & Facebook kama @SIMUKIDIGITALI .

Nb: Simaanishi simu nitakazo taja hapa ni Mbovu ila nitakutajia aina ya matatizo zinazo kumbana nazo wewe utapima kama utaweza kuchukua au laah ila kwa uzoefu wangu ni Simu ambazo zina malalamiko makubwa hata mimi huwa siuzi maan nahitaji kumpa mteja bidhaa bora .

Play :

LISTI YA SIMU 9 AMBAZO SIKUSHAURI WEWE MWANAKIDIGITALI KUNUNUA .

1.Google Pixel 5a

Google ni Brand ya Simu inayofanya vizuri sokoni hasa upande wa Camera , resolution hata Refresh rate yake ni ya juu sana .

Pixel 5a toka zianze kuuzwa zimepata comment nyingi negative hasa ikiwa na tabia ya kuzima ghafla na kufa mashine google waliomba msamaha kwa hili . Hivyo sikushauri mteja kununua simu hii unaweza kuchagua kuongeza pesa kidogo na kuchukua Pixel 6a na kuendelea au kama una pungufu kidogo angalia pixel 4a au 4 plain .

2.Google Pixel 4xl

Moja kati ya simu zenye muonekano mzuri na kioo kikubwa . Simu hii inapendwa na watu wengi kama ilivyo lakini matatizo yake ni kwenye mashine ni rahisi sana kuungua na kuzima ghafla . Hivyo sikushauri sana kuchukua hii simu. Angalia pixel 6a kwenda mbele au 4a kushuka chini .
3.Google Pixel 5

Ni simu ambayo ina muonekano mzuri na kisasa zaidi lakini pia mashine zake ni za mashaka , nyingi zinazimika ghafla kuna namna pixel ni kama walifanya uzembe kwenye hizi simu . Angalia matoleo ya juu zaidi kuanzia 6a na kuendelea au angalia 4 kushuka chini .

4.Samsung S 22 Ultra DUBAI Sheet (Small Display)

Kwa ambao sio wazoefu wa simu namaanisha Brand ya Samsung Used Kutoka Dubai ikiwa na Kioo Kidogo . Simu hizi zimekuwa na malalamiko ya mara kwa mara ya kukwama kwama na uharibifu wa kioo (kuchora mistari) na mashine kuzimika ghafla kuna namna. Kama unapenda S 22 hakikisha unauziwa ya kwenye box ambazo zina kioo kikubwa au kama ni used hakikisha ni kioo kikubwa . Kama una wasiwasi sana ni vyema ukachukua S 21 ultra au 23 na kuendelea.

5.REDMI 13 C na 14 C (Dubai Version )

Moja kati ya kampuni zenye simu bora sana ni Redmi na simu ambazo zipo sokoni kwa sasa ni 13C na 14 C zinapendwa na watu wengi .
Tatizo hapa ni wengi hawauziwi uriginal , kwa maana rahisi hizi simu zipo za aina 2.

Original kutoka Redmi zenye warranty kutoka kampuni husika na kuna zile za dubai , kwa haraka hazina utofauti mkubwa japo hizi za dubai hazina warranty. Na hizi za Dubai zina bei pungufu kidogo kulinganisha na zile za kutoka Redmi official.
Muulize vizuri muuzaji kabla hujafanya maamuzi ya kununua , atakuambia na utofauti wake hakikisha unapata official kutoka Redmi zinadumu kwa muda muda mrefu .

6.iPhone XR kushuka chini

Hapa naandikwa kwa ujumla , hakuna ubishi Apple ni kampuni bora ya kuuza simu duniani . Lakini iphone kuanzia Xr na kushuka chini ni matoleo ya Zamani sana hivyo kupata simu ambayo bado ina hali nzuri ni ngumu (japo zipo) lakini ni za kutafuta sana . Hivyo unapo nunua simu hizi kuna possibility kubwa ya kununua simu ambazo zina changamoto kubwa hasa ya iCloud, Vioo , Camera , Mashine au battery.
Kama unahitaji iphone za uhakika angalau angalia kuanzia 11 kwenda mbele .

7.Samsung Note 7

Hili ni toleo za Samsung ambalo halikufanya vizuri sana sokoni hasa zikiwa na tabia za kulipuka zenyewe bila sababu ya msingi . Kuna makosa mengi yalifanyika . Samsung walitoka hadgarani na kuomba msamaha na kurudisha idadi kubwa ya simu hizi kuna uwezekano ukakutana na simu hii mtaani sikushauri snaa kununua .

8.Oppo A57 na A83 Dubai Version

Oppo nyingi za version hizi juu zina android version ndogo . System nyingi za simu na application zinatumia android ya juu kidogo hasa nyingi ni 13-14.

Simu hizi android yake inakuwa chini na zinakuwa ngumu kupokea application hasa kama WhatsApp uki download zinakuambia you need Official WhatsApp. Hivyo sikushauri sana kuchukua simu aina hii itakutesa labda ukubali kuto kutumia WhatsApp.

9.Samsung A series (Dubai Version)

Hapa naamaanisha zile full box unapata A series mfano A 05 , A 06 , A15 , A 16 , A55 nk.

Simu hizi zipo za aina 2 hazitofautini sana muonekano wake japo zote zinakuja full box zenye hali nzuri . Ila za dubai bei yake ipo chini ukilinganisha na zile official kutoka samsung .
Simu official kutoka Samsung zinakuwa na official warranty kutoka samsung ya miezi 24 (Mika 2) hivyo kabla hauja nunua simu hizi hakikisha unamuuliza muuzaji aina hizi za simu ili akupe machaguo

Hizi za Official ni simu nzuri na hazina shida battery , Qulity nzuri hazikwami tofauti na dubai ambazo zinakwama na matatizo mengi mengi . Hivyo hakikisha unapata official device kutoka samsung .

Kiufupi : Hakikisha unafanya research ya kutosha kabla ya kununua simu au chagua sehemu nzuri ambayo watakupa kitu kizuri cha uhakika…. Ukishinfwa kabisa tutafute SIMUKIDIGITALI au nicheki WhatsApp au piga 0628210865 / 0757468193

Save namba yetu kisha nicheki kisha sema nikusave nani ?

Tupo Kariakoo Aggrey tunauza Simu , Laptop na Tablet za jumla na reja reja.​
Mimi Nina Infinix s6 now mwaka wa SITA juzi ndo ilizima nikapeleka kwa fundi nikaambiwa ac imekufu Wala sikutaka mengi kujua ac ya nn nikamuuliza Bei na matengeneza ten tu nikamaliza nikachukua changu kifupi Sina mpango kubadili simu coz Samsung A series nilitumia ikafa,iphone nayo hivyo hivyo nikiwa tayari na Infinix
 
yes sema ukitaka OG kuna maduka yawahindi wale bado wanazo OG full box maan bei zao hawapunguzagi so wanakaa na simu hata miaka mi3
Sasa mkuu kwa bajeti ya 700K sidhani kama inaweza kuendana na bei zao kwa S22 Ultra
 
700k pale kkoo watakupa used ya dubai tena kwa shida sanaaaaaaa na hapo itakua small display
 
Sisi wa Samsung A14 umeturuka hapo!!😄😄
 
700k pale kkoo watakupa used ya dubai tena kwa shida sanaaaaaaa na hapo itakua small display
Ooh sema kwa sasa used sio shida ila small display hapo ndo kipengele kikubwa kwangu
 
Dah li oppo langu 83 ndio mana limegoma whatsap, mkuu sim gan yenye bei ya kawaida ambayo nitapata na whatsap na gb na ram kubwa kidogo
 
Mkuu, Samsung S22 Ultra yenye 256GB used ila kioo kikubwa (full display) ina bei gani hapo kwako?

Nina uhitaji nayo
Tuwasiliane tafadhari kwa namba ya simu yangu 0628210865 maana najaribu kudeal na watu wengi ukinitafuta WhatsApp itakuwa vizuri zaidi
Kwa mfano hzo simu pixel zikizima ghafla zinatengenezeka au ndo inakua imeisha hyo??
inategemeana na Tatizo , kama shida ni mashine … ni lazima ipatikane ya simu iliyo kufa kioo then iwekewe maana hakuna kiwanda duniani kinatengeneza mashine ila kama kioo … vioo vya dukani vipo japo wachache wanauza Bongo ko unaweza pia kupata kutoka kwa simu nyingine
 
Dah li oppo langu 83 ndio mana limegoma whatsap, mkuu sim gan yenye bei ya kawaida ambayo nitapata na whatsap na gb na ram kubwa kidogo
Simu ndogo ya bei nafuu zipo nyingi mfano Vivo Y 95 iko vizuri pia unaweza kuangalia Aqous zipo pouwa sana bei zake ni kuanzia 170 tu na kuendelea
 
Back
Top Bottom