Majaabu sana imenitokea jana

Majaabu sana imenitokea jana

jitahidi ufanye kazi mwili utoke jasho uchoke usiwe na mambo mengi usiku ni muda wa kulala sio wa kuota ma ex na kuchezewa chezewa
 
Kama x wako ni muha au mtu wa sumbawanga mi nakushauri mkae chini mmalize tofauti zenu
 
Hivi wewe ndio unaitaga wenzio attention seekers 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom