Habari wadau
Naamini mmeamka salama na mnaendelea kuunga mkono juhudi za Mh kufanikisha Tz ya Viwanda na kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025
Niende kwenye mada ilikuwa mwaka juzi 2016 nilipomaliza chuo na kuanza ujasriamali nikajiingiza kwenye shughuli ya kilimo cha mbaazi maeneo ya Manyara...
Daaaa!!... Umenikumbusha mbali Mkuu ...nilikuwaga na demu wangu wa hivo toka 2012 akiwa anajifanya bikira kidume natunza tuje tuoane ...wakat nataka kumuoa namuuliza bado upo kama kama ulivyoniambi akanambia hapana..nikamuuliza kwa nini akambia kwani sijakuambia nniiteleza nikaanguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.