Majina ya utani ya sehemu za siri za mwanamke na mwanaume

Habari za majukumu wakuu!! Bila shaka nadhani niwazima wa afya na tunaendelea na pilika pilika za kutafuta mkate wa kila siku ,

Huu Ni Uzi maalum nimeamua kuandikia Kwa makusudi tu lengo kubwa zaidi Ni kutaka kujua au tujuzane wote na kila mtu ajue.

"UKE'' na "UUME" hizi Ni organ ambazo zina majina mengi sana ya utani hivyo Mimi nadhani Ni Kwa sababu ya kuficha au kutumia tafsida
Ili isije ikaleta mushiker katika hadhira.

Sasa Kwa kushirikiana tutaje majina Kwa comment liwe la kilugha liwe la mtaani liwe la huko shuleni uwe unalitumiaga kazini kipindi unapiga story na rafiki ako au shoga ako.

Mimi naanza hivi;

-Papuchi

-Dushe

-Muwa

-kitumbua

-mkuki

-Kitobo

...........karibuni tutaje majina mageni ya huko.
Mpingo ngayomba
K
Mbunye
Kitumbua
 
Back
Top Bottom