Recent content by mbuzimawe99

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mysol ni kampuni ya kitapeli, imewatapeli Wazazi wangu. Wananchi chukueni tahadhari

    MySOL ni Kampuni ya Majambazi na MATAPELI,kuweni makini nayo wananchi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kampuni bora za umeme wa jua (solar)

    Usithubutu kutumia Bidhaa za Kampuni ya MYSOL zamani MOBISOL,ni Kampuni ya MATAPELI NA MAJAMBAZI na bidhaa zao ni feki. Ni Kampuni ya ovyo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sola gani nzuri?

    Naifahamu hiyo Kampuni A to Z,niliajiriwaga hapo kwa miaka NANE kama Area Manager,ni Kampuni ya MATAPELI kwelikweli,bidhaa zao ni feki na ni gharama sana hivyo wito kwa Wananchi ni KUOGOPA bidhaa za Kampuni hiyo maana ni majanga. Kikubwa ni Serikali kuongeza juhudi ya kuunganisha umeme kwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu mikopo ya bajaji

    Hata kama ni stress za kutokupata Ajira tangu umalize Chuo 2014 ndio uandike kwa kutiririka tu bila hata koma wala nukta?kwa hiyo ukiajiriwa leo kisha ukapewa kazi uandae Ripoti fulani basi utatiririka tu hivyo? inaonekana huajiriwi maana hata uandishi wako wa CV au Application Letter utakuwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Esperance awahofia Simba

    angekuwa Baba wa Futbal angekuwa Kombe la KLABU BINGWA na Wakubwa wenzake na sio Kombe la MACHOKO la kushirikishwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Esperance awahofia Simba

    MACHOKO mna TABU sana,kumbukeni hilo ni Kombe la KLABU BINGWA na sio Kombe la KUSHIRIKISHWA,kwamba ushikishwe ukuta Kombe la Wanaume kisha udondokee Kombe la MACHOKO kama SHIRIKISHO
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mlikojolewa viwili jana mchana kweupe kenge maji nyie,eti Title Contender,labda Contender wa kuzibuliwa mitaro
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

    Wewe jamaa muongo, yaani mtu ajenge Kitanda cha matofali kwenye chumba cha kupanga kweli daah[emoji1787][emoji1787]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Katika ajali Ile dereva alijua soon kifo kinatuvaa

    Aendelee kupumzike kwa amani MINZA,zile Kona za Lukumbulu mpaka kule Kifanya hatari sana,vipi dereva na kondakta walipona au nao walikuwa RIP??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa mil. 18 nusu heka lina boma, Kibaha

    bila Hati mmmhhhhh
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unique Sisters wako wapi siku hizi?

    Mez B alifariki mwaka 2015
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Polisi yatoa taarifa rasmi juu ya tukio la mwili wa mtu kuokotwa, yasema amenyogwa na waya

    Kwa hiyo Mwanaume mzima kanyongwa na Mwanamke duuuh
  13. M

    JamiiForums Tanzania Familia aliyegongwa na mwendokasi yahaha kumtibia akisubiri kulipwa

    Serikali inajifanya imemsahau khaaaa,hata aibu haioni
  14. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa mil. 18 nusu heka lina boma, Kibaha

    Una Hati ya hilo eneo ndugu??kama una Hati ya Wizara ya Ardhi tufanye biashara
  15. M

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kenge kama Kenge,lazima mbandulie Marinda hayo kenge nyie,eti Title Contender,mafiiiii
Back
Top Bottom