Recent content by mbuyamore

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi watawala wetu wamefikia hatua hii ya kutothamini kabisa sauti ya wananchi kupitia sanduku la kura?

    Andika ueleweke, una maanisha wagombea wa CCM wote nchi nzima ndio walijaza fomu vizuri bila kukosea ila wagombea kutoka upinzani wote walikosea kwa sababu hawajui kusoma na kuandika. Basi hongereni kumbe CCM ndio inawasomi pekee
  2. M

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Tayari mkuu ili uyaone fungua account yako ya application utaona link imeandikwa selection results fungua hapo utaona admission letter na docs nyingine muhimu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuambiane! kwa nini uliamua kufanya biashara unayofanya sasa?

    Kwa nini unasema hivyo ? Mleta maada ameleta hoja ya msingi kwa manufaa ya wengi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwamba makatibu wakuu waliiba bila wenyeviti kuhusika?

    Tambua pia kabla ya Makamba katibu mkuu wa CCM alikuwa Philip Mangula awamu ya 3 ya Mkapa. Vp yy alikuwa msafi sn
  5. M

    JamiiForums Tanzania MOFCOM SCHOLARSHIPS

    Habari, naomba nitafute PM kushauriane mambo fulani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Angalieni salary slip zenu mwezi Aprili 2019 na May, Loan board wamekata panga ila deni limesimama

    Hawa ma CCM waliotunga hii sheria ya kutuibia hawafai kabisa. Huku ngazi za chini s/msingi na sekondari wanawapeti kwamba Elimu bure. Usithubutu kuchukua mkopo wanaramba kama hawatujui vile. Natamani siku moja aje kiongozi atengue hii sheria ya bodi kandamizi na ya kinyonyaji. Unakuta mtu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye suala hili la passport

    Ni kweli nyaraka za uhamiaji ni kero, Leo nilikuwa nafanya online application ya passport mpya ya kielektroniki. Mlolongo mrefu
  8. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA SHULE ZA PRIVATE ZENYE GHARAMA CHINI YA MIL 2

    Njoo Unyanyembe Sec mkoani Tabora shule inayomilikiwa na TPDF. Inazo comb za science ulizotaja. Ada kwa mwaka ni 1. 5
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tarime teachers collage

    Ada ya vyuo vya ualimu vya serikali ni Tshs 600,000/- kwa mwaka. Ila kuna michango mingine ya Chuo isiyopungua laki moja. Kimsingi mandhari pako poa Chuo kipo mjini na hali ya hewa ya Tarime ni nzuri greenish sana. Karibu sana Tarime
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu MOFCOM scholarship 2019

    Du pole sana ndugu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA WALIMU ...

    Wakumbuke kabla ya kuappload video YouTube ni lazima kusajili TCRA na kulipia kwanza. Tofauti na hapo utasombwa mahakamani kama walivyofanya kwa MC pilipili Option ya kuandaa Android Apps ni nzuri zaidi endapo utapata mtaalamu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Bunda Vijijini stuka, muda umeisha

    Hebu tusaidie, unafikiri kazi ya mbunge ni nini labda ?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Bunda Vijijini stuka, muda umeisha

    Bunda vijijini ni CCM ila Bunda mjini ndo CHADEMA mh Esther Bulaya. Bunda mjini changamoto zimepungua tofauti na vijijini
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Bunda Vijijini stuka, muda umeisha

    Yupo mkuu, huwezi kumsikia ndo maana ya hiyo post. Bunda vijijini yupo mwanaume.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Bunda Vijijini stuka, muda umeisha

    Serikali iligawa wilaya ya bunda na kuongezeka majimbo mawili ambayo ni Bunda vijijini na Bunda mji. Awali ilikuwa jimbo la Bunda ambalo mbunge alikuwa ndg Wassira na Mwibara mh Lugora ambaye ni mbunge hadi sasa. Tangu achaguliwe huyu mbunge wa Bunda vijijini hajawahi kuzungukia jimbo kujua...
Back
Top Bottom