watu ni sehemu ya faraja katika msiba. aidha, nijuavyo, kwa jamii ya Afrika hususan Nchini, chakula zaidi ya shibe pia ni njia/platform ya kuwafanya watu kujumuika pamoja, kuzungumza au kushikamana. Achilia chakula, watu pia hujitoa kwa namna kadhaa katika kufanikisha msiba. Hivyo, changamoto ya...