Recent content by mburasi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee Mkuu wa nchi anapokwenda kusali Press huandaliwa

    Inabidi aanze kutafuta waumini mapema hii kwa kuchangia maujenzi ya numba za ibada Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mr Nice: Sina UKIMWI ila nililishwa sumu wakati wa kampeni.

    Hata kama ni mgonjwa ndo mumnyanyapae kwamba nyie hatma ya maisha yenu mwaijua? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro na broken english

    Ndo hajui hata yeye
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya kiuchumi yameathiri utoaji na ukusanyaji mikopo ya benki - Lawrence Mafuru

    Matusi ya nini mjomba tiririka kwa hoja mama bibi baba wanahusika vp msomi mwenye cpa kweli unatukana kiasi hicho!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa shule ya Lucky Vincent, Makamu Mkuu wafikishwa mahakamani; waachiwa kwa dhamana

    Kwani kesi si imetajwa tu? Masuala yaupelelezi si haujakamilika?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sauti imenijia na kuniambia nimuombee msamaha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Yeye ndo anatakiwa kuwa mdogo aombe samahani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapiga mnada hotel kubwa ya TAMAL iliyopo Mwenge Dar

    Hii hotel ina zaidi ya miaka 10
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Ndo uwezo wetu ulipofikia sasa tufanyeje zaidi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Kuugua na kulazwa ghafla kwa Mhe. John Heche

    Kamanda pole sana tuko kwenye maombi kukuombea Mungu akupe wepesi upone haraka
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuna Tatizo na Mfumo, Muundo na Utendaji wa Polisi; Hatuna Tatizo na Kila Polisi Tanzania!

    Mimi nadhani sio kwamba wanashangilia polisi kuuwawa kwa mfano maeneo hayohayo viongozi waserikali za vijiji wamekuwa wakiuwawa baada ya kupewa vitisho na wengine wamehama vijiji lkn serikali haikujali lkn lilivyotokea hili mpaka Raisi kaongea kwa hyo inanaokana raia sio kitu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kuivunja TISS sasa!

    Tatizo wabunge wengi wa ccm ni wanafki wakiongozwa jenistet mhagama na simbachawene na stella manyanya
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kukomesha mgao wa umeme

    Wakati hata leo nimevaa nguo haijanyooshwa umeme umekatika saa 12 asubuh
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Raisi wako anashaurika? Yeye ndo anatakiwa awaite wanasheria aombe ushauri! Km mtu anasema mlizoea kuitwa ikulu kunywa chai nafasi hio hamtaipata kwangu ndo unasema ashauriwe? Anaona chai ya ikulu ni mhimu kuliko mustakabali wa nchi!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Afunga ndoa na Wanawake wawili tofauti na kwenda nao Honeymoon

    Mshua ataanza kumchunguza atasema hiyo gari ndo ilikuwa kwenye container wakajifanya wamebeba nguo za mtumba jamaa ana Range Rover sports plate namba kaandika jina lake!!
Back
Top Bottom