Recent content by Mbume

  1. M

    Watanzania kwanini tunakubali Rais wetu adhalilishwe na media za nje kwa kuitwa "The 'Bulldozer' Tanzanian President"?

    Sijaona ubaya wa jina kwa kuwa amevaa uhusika na anachapa kazi.
  2. M

    Nguvu ya umma si ufunguo wa Ikulu, kamuulize Lowassa na Mrema

    Kuingia Ikulu Mungu apende Akipenda atakuingiza kwa njia yeyote ile Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Nawashangaa wanawake wanaopigwa kama punda na waume zao na bado wanang'ang'ania

    Mapenzi ya kupigana yana raha yake, usiyaanzishe kwa kuwa hutaayaacha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Makampuni Makubwa Yatikisika

    TBL imeua mashamba ya ngano, kiwanda cha Kioo Ltd, kiwanda cha vizibo, imechimba Kisima cha maji badala ya kutumia Dawasco, imeuza nyumba, kwa hali hiyo hasara kwa nchi ni kubwa kuliko faida Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Ikitokea Ukafa Ukiwa Usingizini!

    Hata ukilala na nguo ukifa utavuliwa tu
  6. M

    Jibu ndiyo au hapana...

    No Sex ndio kila kitu Ndio usawa wa viumbe unapooneka si tajiri si maskini wote wanapata raha inayolingana
  7. M

    Asilimia kubwa ya wanaume wa sasa wanaamka asubuhi wakiwa hawajadinda

    Hoja haina utafiti Unaposema enzi zenu hujapambanua ni miaka gani. Ni kweli kwa sasa inawezekana unaamka hujadindisha kwa kuwa umri wako umeenda, umevamiwa na magonjwa, Msongo. Vijana wa enzi hizi bado wanaamka wamedindisha
  8. M

    Kama tunawatetea kutoka mioyoni wanafunzi wanaopata mimba, basi tuanzishe utaratibu wa kuwatoa mimba

    Mtoto anapotetewa kupata mimba na kuzaa kwa kigezo cha haki ya kuendelea na masomo naona kuna kasoro kubwa katika fikra za watetezi. Ipo wapi haki ya mtoto atakayezaliwa ya malezi ya mama? Familia maskini itaweza kulea mtoto huyu?
  9. M

    Kuchepuka raha

    Ndugu huchoka kuuguza mwenza hata iweje atavumilia tu
  10. M

    Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

    Mbona huoni kuwa Mungu ameona inatosha kuibiwa? Acha kumtaja Mungu kwa hoja isiyo na mashiko, utendaji wa Mungu ni wa kipekee huwezi kuuona kirahisi hivyo
  11. M

    E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

    Hapa sio suala la wenye akili ambao kimsingi ni wachache sana na wanatumika vibaya. Hapa ni kile kilio cha watanzania juu wezi wa mchana je kimepata mkombozi?
  12. M

    Uwezekano wa kuyashitaki makampuni ya madini kurejesha hasara tuliyoipata huu hapa

    Bravo, nilitegemea Lissu angesema haya
  13. M

    Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

    Wasomi wetu ni wazuri kujenga hoja hasi katika kuhalalisha tatizo lililopo liendelee kuwepo. Tuseme JPM kakosea so what is the positive move to let us get out from the circle. Ujinga tu eti tumeliamsha dude, sema sasa tufanyeje kikale. Nchi hii ni yetu sote, tutakufa lakini nchi itabaki, je...
  14. M

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Uzalendo ni kusimamia haki ya nchi yako kwa kile unachoamini kuwa ni kwa manufaa ya nchi yako. Soma historia za nchi hizo zinazo halalisha wizi kwa njia ya mikataba na vita kwa ajili ya masilahi ya nchi zao. Ni wakati wa kujivunia kuwa JPM ameanza popote kuvunja mnyororo tumuunge mkono...
Back
Top Bottom