Nilianza kipindi niko high school missionaries school ni kama jambo lakwaida kunywa pombe .
Chuo nlikua nakunywa kawaida kama kupata vibe especially nikienda club.
Balaa lilikuja baada ya kumaliza nlipata kazi somewhere posts ukweli mchungu nlifukuzwa sababu ya ulevi.
Nikaingia mtaani kwenye...
Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama..
Uzoefu nlionao driving.
Kulinda.
Kufuga.
Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu.
Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM.
Niko juu ya mawe...
Napitia mfululizo wa matukio yakunikatisha tamaa kabisa.
Nmejariwa kusoma but sijawahi kupata kazi.
Kinacho niumiza zaidi nlikua nmeachiwa gari 2 za home coaster kufanya biashara.
Nlikata TLB ya special hire nmefanya kama miezi sita fluently gari zinazingua nikajikuta nakua na madeni makubwa Ili...
Napitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu.
Napitia mfululizo wa matukio yakunikatisha tamaa kabisa.
Nmejariwa kusoma but sijawahi kupata kazi.
Kinacho niumiza zaidi nlikua nmeachiwa gari 2 za home coaster kufanya biashara.
Nlikata TLB ya special hire nmefanya kama miezi...
Starehe za kupitiliza pombe sana na nilikuwa sina mkopo.
Nlijikuta nimetafuna ada yote ikabidi nipostpone nikatafuta hela next year nilifanikiwa ku graduate.
Na advance nilikula ada ya mwaka mzima 1.4m mpaka leo sijaclear najuta sana instead huwa natumia loss report kwenye harakati za kusaka ajira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.