Recent content by Mbulaje13

  1. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vitafunwa vikavu

    Wenye uzoefu wanisaidie kuchanganua : mahitaji, namna ya kutengeneza, masoko na changamoto zake , mfano wa vitafunwa hivyo ni karanga, ubuyu, bisi na crips za ndizi na viazi au mihogo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mawasiliano 0656993173 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Tv 32" hadi 24" inahitajika ndani ya siku 30, Bukoba Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu simu na kompyuta

    Samsung ingawa sijuw kama ni OG au nakala, GALAXY J7 MAX Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu simu na kompyuta

    Unfortunately, Google app has stopped, Facebook has stopped unfortunately, haya yananima raha katika simu yangu msaada tafadhal Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Uhamisho tayar? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Jaman wataalamu kuna tatizo moja naomba msaada. Nina mafaili mawili; yote yamekosewa Faili la kwanza nimechanganya watu waliopo na wasio kuwepo na namba zao za simu. Faili la pili lina watu waliopo tu ila hakuna namba zao za simu nawezaje kurekebisha kwa haraka badala ya kupitia kila jina? Sent...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Nami nimejifunza kitu kutokana na mada yako 1.Umefanya uchambuzi ukiwa hauko huru kifikra. Umeegemea upande mmoja bila sababu za kiuchambuzi wako. 2.Umechambuwa bila kukamilisha utafiti wako/mafunzo yako ndomana sehemu nyingi umetumia neno LABDA, hii ni ishara kuwa huna uhakika na unachoongea
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Duuuuu/color
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Asante sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Zitto dhidi ya Mbowe kuhusishwa na madawa ya kulevya

    Vita dhidi ya dawa za kulevya si jambo la kukingiana vifua kwa namana yoyote hile, hii ni kutokana na jinsi biashara yenyewe inavyoendeshwa kwa siri. Hupaswi kumwamini mtu katika hii vita. Kila mtu apigane na amtilie shaka jirani au ndugu yake, mfano kama wewe una dhamira ya dhati ya kuzuia hili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus Mtangazaji Wa BBC Swahili!!

    Hahahaaaaa, sizani kama atarudi kuja kutoa ufafanuzi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus Mtangazaji Wa BBC Swahili!!

    Huu sasa ugomvi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Zitto akafanya siasa za kipinzani zaidi awamu hii

    Watanzania akili zetu zinachezewa na wanasiasa kadri wanavyotaka, Wanasiasa ajenda zao ni mbili tu duniani kote MALI AU UMAARUFU,
Back
Top Bottom